Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 times ballon d'or tuweni serious kidogo CR7 ni zaidi
Well said Mkuu,hawa wakina Mesi na Ronaldo wangekuwa kwenye ule ulimwengu ambao mpira ilichezwa na Wanaume wa shoka kama hawa wasingepata hizi sifa hizi wala tuzoHivi bro unalinganisha ulimwengu wa kina Gaucho na Ronaldo ??
Acha utani ww.
Huyo Messi mwenyewe angekuwa ktk era ya kina Gaucho angepata ballon dor moja tu.
Na kumbuka Gaucho ana world cup baba la baba.
Kupata ballon dor chache Gaucho ni kwasababu ktk kipindi chake cha soka kulikuwa na magwiji kama kina Zidanne,Delima mwenyewe we unadhani hapo kuna nn tena km sio mtiti??
Huyu Cr7 yupo ktk ulimwengu ambao mpinzan wake ni Messi tu waliobaki wote ushuzi hamna kitu ndio maana wanatamba.
Wangezaliwa kipindi cha ulimwengu wa soka uliotawala magwiji kwa wakati mmoja uone kazi yake.
GAUCHO NI FUNDI MKUU MM SHABIKI WA MESSI ILA MESSI NAMWEKA CHIN HAMWEZ GAUCHO .
WW MTU ANAMPIGA MTU CHENGA MPK KUMTEGUA KIUNO??
ANAVISHA VIDALI WATU WATATU??!!
MKUU TUMEMISS SKILLFULL PLAYING OF GAUCHO KIUKWELI MUCHE APEWE SIFA ZAKE
Cr7 Ana ubora gan ww mechi zake na uwiano wa magoli haviendani.Kumbuka ile ilikuwa ni team work, hata Griezman, Kante,Mbappe, Iniesta, Cassilas n.k wana w/c..kama ndio kigezo chako basi wote hao ni bora kuliko Messi na R7.
Gaucho mwenyewe amekiri kwa mdomo wake [emoji1541]
View attachment 1163918
Mimi ni shabiki wa Messi.
Ila tukija kwa hao watatu pamoja na madoido yao yasiyokuwa na tija wala mafanikio katika timu zao hawamfikii R7. Tutende haqqi sheikh japo sio shabiki wa R7.
Asa bro ballon dor zako zinazogaiwa kwa ushubwada jaman kama ile ya 2013 ushubwada mtupu ulifanyika.5 times ballon d'or tuweni serious kidogo CR7 ni zaidi
Naona hujanielewa, mimi sijamfananisha gaucho na cr7 ni kweli tofauti, ni kweli gaucho ni kipaji kikubwa sikukatalii, cr7 hana kipaji hicho, hebu tutizame kile cr7 kafanya juu ya soka!! Cr7 hana kipaji ila ana juhudi za hali ya juu!! Jitihada zake ndio zimemfikisha hapo, kwa kizazi hiki kuna watu wana kipaji kushinda cr7 tizama wako wapi kwa sasa umbali wao na cr7Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Sio sawa, nakubaliana na wewe, lakini wote ni wachezaji bora.gaucho na cr7 sio sawa
Mwandiko wako tu inaonesha nitakuwa nabishana na mtu wa aina gani!!Ww ndo kolo wa mwisho ww,weka gaucho wengine wafate
Asa ww usifananishe ulimwengu wa soka wa sasa na wale magwiji.world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..
lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....
world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..
lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....
Akikujibu nishtue Mkuu,maana Alves ndio Mchezaji pekee aliechukua makombe mengi kuliko Mchezaji yeyote yule kwenye sayari hii.According to your logic basi Dan alves ni bora kuliko kila mtu hapo akiwemo huyo CR7.
Unamjua gaucho ?
TehWanamskia tu Mkuu na kumsoma kwenye magazeti Ya mwanaspoti.
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.
And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.
Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.
Cr7 Ana ubora gan ww mechi zake na uwiano wa magoli haviendani.
Mechi nyingi uwiano wa magoli mdogo utasema yeye mchezaji??
Nenda kwa messi mechi za kawaida ila uwiano wa magoli kushinda mechi hadi cr7 wako kaekwa kando.
Mm nakwambia km mpira wa kipaji cr7 siwez kumuweka.
Tena angezaliwa zama za wale magwiji hasingepata tuzo ww.
Hizi tuzo zenu mnazipata kwa figisu na upendeleo!??
Ulimwengu wa kina Gaucho ulikua mwingine tena ule ni wa ma aliens.
Usimchukue mviziaji cr7 ukamweka kule ataumia.
Una hoja nzuri ,lakini hawa mbona sio WA siku nyingi , Ronaldo na Messi walikuwepo wanacheza tayari ,Well said Mkuu,hawa wakina Mesi na Ronaldo wangekuwa kwenye ule ulimwengu ambao mpira ilichezwa na Wanaume wa shoka kama hawa wasingepata hizi sifa hizi wala tuzoView attachment 1164095