Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Acha zako wewe. Hao WHO walikuwa wameproject mpaka April tutakuwa na wagonjwa 570+ Acha ushabiki wa kishamba.Hatimae tutaongea lugha yenye kueleweka Kanga tutaita Kanga Kenge tutaita Kenge
Wazungu walikuibia siri kuwa watafanyia majaribio chanjo ya Korona Afrika.. Wanacho jifunza kutoka Afrika, sio chanjo tu.. Kuna mambo mengi mazuri wanajifunza toka kwetu, but they wont admit!Palikuwa na gazeti la sani siku za nyuma lilikuwa na kitu:
"Usitake ncheke"
Wang'wise, tuliza mshono tuongee wiki ijayoAcha zako wewe. Hao WHO walikuwa wameproject mpaka April tutakuwa na wagonjwa 570+ Acha ushabiki wa kishamba.
Safi sana kijanaHao mabeberu waache kuingilia mambo Yetu ya Ndani
Hiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??
Utakufa usipofuata ushauri wa kujikinga na maambukizi ukisubiri Serikali itoe amri ya wewe kujifungia ndani. Upumbavu na ulofa huo. Thamini maisha yako.Raisi na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu
Toa ushahidiWanaoteseka ni Watanzania masikini
For the 1st time, Europe, Asia and America are learning their lesson from a 'tiny' country is East Africa.
Europe has the confidence to reopen their economies from the case studies they have secretely taken from countries like Tanzania.
Kenya for example, has a confidence to open school abrubtly from a lock down using Tz as their case study on impossibilty of adverse effects of reopening.
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
Wazungu walikuibia siri kuwa watafanyia majaribio chanjo ya Korona Afrika.. Wanacho jifunza kutoka Afrika, sio chanjo tu.. Kuna mambo mengi mazuri wanajifunza toka kwetu, but they wont admit!
🤣🤣🤣🤣 Hao wajinga Kaka ukijibishana nao lazima utapata ugonjwa wa moyo, yaache tu yakija kupata akili yameshazikwa
Hali iko hiviTunaenda kuzipita hizo zote ulizizitata katika muda mfupi saana
Digrii mbili za undergraduate + Masterz.lakini mkuu. Ila kwa nia njema tu ya kujiridhisha mkuu elimu yako tafadhali
"alunamda, wewe umeona magari mangapi ya maiti yanatoka pale amana kwa maana kama wanakufa wanapelekwa kuzikwa. Au tupeleke mwisho wa njia yaani kaburi kubwa la pamoja walikozikwa hao watu wengi waliokufa.Hatuwezi kuwapita kwa sababu hakuna ukweli unaotangazwa, kwa kukusaidia uliza waliotoroka Amana hospital wakuambie wameona marehemu wangapi walipokua pale,NAJARIBU KUKUSAIDIA KUFIKIRI do your homework
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ina maambukizi zaidi ya 500 Ila kinachofanyika ni kuficha data ili watu kama nyie malofa msijue kinachoendeleaNa Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini wewe umewahi kulitakia mema taifa la Tanzania? Na tutazidi kukuchoma moyo kwa hatua tunazopiga chini ya serikali ya awamu ya tano!Crap!
Kama Kenya nadhani tulikwisha wapita. Twajifanya wajanja siku tutapoanza kupiga yowe hapatakuwa na wakutusikilizaTunaenda kuzipita hizo zote ulizizitata katika muda mfupi saana
Mpaka rais wao anaomba kusamehewa madeni eti,Ila kwetu madhara ni kiduchu sana ndo maana hatulii liiHiyo Tweet ni ya Raia wa Nchi gani ambaye yupo concerned mno na sisi kuliko huko kwao ambako madhara ni makubwa zaidi??