WHO: Maambukizi ya Tanzania yanaenea kwa sababu Serikali haifuati miongozo ya afya ya kimataifa

Ni hatua zipi serikali hazijatekeleza kama nchi zingine za Africa?.

1.Social distancing inatekelezwa
2.shule na vyuo zimefungwa.
3.makanisa na misikiti (ni
kujiongeza tu kwa waumini)
4.Barakoa na sanitizer zinazingit-
iwa tena kwa hatua za mwanzo.

LOCKDOWN to ndo haijatekelezwa na ni kitu kigumu kwa nchi za Africa,angalia Ghana wamerudi mtaani,south africa ndo hivo,subiri Kenya,Uganda na Rwanda zitafunguliwa serikali hazina uwezo wa kumlisha mtu ndani kwa mda mrefu na wakirudi mtaani maambukizi ni yaleyale.

Hivi Burundi walifanya lockdown lini na ligi iliendelea hadi wiki zilizopita.

Kwa Africa lockdown ni ngumu sana sema tu hayo mataifa ya Ulaya yamemchoka jamaa kwa mambo yake na misimamo yake na ukiukwaji wa haki za binadam kwa matukio yaliyopita

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Time
Time will tell.
 
Na Kenya yenye wagonjwa 300+,south Africa yenye wagonjwa 1000+ wenyewe wanafuata maagizo? Huyu beberu ni wa kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa naona wanapata tabu sana wanavyoiona Tanzania inakuwa katika hali hii. Kuna watanzania wa ajabu wanafurahia Tanzania ipate matatizo kwa sababu ya mambo yao ya kisiasa na ninawahakikishia hawatashuhudia Tanzania ikianguka. Pia hivi nilishangaa sana sisi tunaidhalau inchi yetu wakati wazungu wanatatamani kuishi kwenye nchi hii mpaka wanalia wanapoambiwa warudi kwao. Tuipende nchi yetu tujivunie pia maana Mungu ametupa nchi nzuri sana
 
Qq
"Madai yenu'...sisi akina nani na nyie ni akina nani? Hivi ulivyoandika MZARENDO ni spelling mistake au ndiyo uelewa wako wa neno Hilo?
 
Eti niambatishe ushahidi na nipeleke mahakamani....kwa kauli Kama hii ni wazi hujui kitu...ni wa kuhurumiwa...it is no wonder unaandika MZARENDO baadala ya MZALENDO...
 
Umesema ww
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wanakazana na Tanzania yenye kesi 284 kuliko wao huko wenye kesi million + nini kilichoko nyuma ya pazia
 
Tanzania the 1st time, has shown a leadership to the World on how to live with a deadly snake in the room without a single snake bite!
I think there are multiple snake bites. 10 officially confirmed COVID19's deaths and many more ambazo tumesingizia pneumonia, BP, cancer, Kifaduro, malaria, kisukari and the like
 

Crap [emoji90]
 
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has increased by more than 500% in the past 10 days. That's one of the worst rates of increase in the world. No wonder the WHO is concerned. [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji124][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]


Jr[emoji769]
 
Na kule Kenya yanasambaa kwa sababu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wao wamefikia idadi hiyo kwa kupima, watukujitokeza walio na dalii za Corona na kupimwa, n.k. Je sisi tumepateje hizo takwimu kama sio kwa kuzipika na kusubiria wananchi walio ugua na kujipeleka wenyewe mahospitalini?.

Sayansi na asili(nature) havijawahi kudanganya, kudanganyika, n.k. ngoja tuendelee kutia aibu Dunia!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu walikuibia siri kuwa watafanyia majaribio chanjo ya Korona Afrika.. Wanacho jifunza kutoka Afrika, sio chanjo tu.. Kuna mambo mengi mazuri wanajifunza toka kwetu, but they wont admit!

Mkuu sisi wanakojifunza mengi si tungetengeneza na hiyo chanjo wenyewe tukakaa na hazina zetu wenyewe?

Hii si ni kwa sababu tuko vizuri mno kufuatana na bandiko lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…