Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Watu wanashangaza sana! Kuwa Membe hafai kuwa Rais wa Tanzania!! Sasa huyu wa sasa ana uwezo gani wa kuongoza? Nini kimebadilika hasa ndani ya miaka mitatu ya Uongozi wake? Na vipi yeye aliandaliwa na nani wakati nasikia hata kuwahi kushika nafasi ya chini ndani ya Chama hakuwahi pia, zaidi ya kuwa Mbunge wa Chama hicho!!

Maendeleo ya watu au maisha ya Watanzania wengi hasa wa chini yameimarika kwa kiwango gani? Hakuna la zaidi tu bora CCM ibadili mfumo wake wa kihafidhina wa mihula miwili, imtose Dr Magufuli miaka 5 inamtosha tu.

Na yeye aliwahi kusema kuwa kazi yake ni ngumu anajuta, CCM impumzishe tu Dr Magufuli .
 
Purely talented, nani unayemuona anafaa na anatosha kuwa mgombea wa chama kwenye nafasi ya uraisi wa jamhuri mkuu?

Bado sijaona kama Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Tumpe ushirikiano atatufikisha mbali mno Kimafanikio na ipo siku tutakuja Kumkumbuka japo leo kuna ' Mapopoma ' wengi hawamuelewi kwa sababu zao wanazozijua Wao.
 
Nimemkumbuka kipindi.anasema akiwa rais watu 12 wajiandae pale airport kuhamia kenya
Hii ni sababu mojawapo iliyomkosesha membe nafasi ya kwenda ikulu alijiandaa kuwakomoa watu mapema mno ndiyo maana Dua zao zikamzuia kufika mbali.
 
Timu jiwe mmepaniq vibaya Sana, hii nchi ni yetu wote,
Wasiojulikana ingawa baadhi sasa wanajulikana wapo busy kuhakikisha mtukufu anakuwa ikulu mpaka 2030
 
Umeleta hoja ambayo mwandishi hakuwaza...hiyo ya kuongezea muda ni yako personally mkuu.
 
Mkuu unamtisha sana. Lazima na wewe utakuwa mmojawapo wa hao watia nia wa mafisiem. Teh.
 
Hahahaha

Membe anaonekana kuwa ni tishio
Wanajiharishia hovyo tu wakisikia jina. Wegi wao ni wale mafisiem yaliyozoea kupokezana uongozi kwasababu yanafahamu kuhusu tume mbovu ya uchaguzi. Yenyewe yanaji position hadi 2025. Si unajuwa yenyewe yana priveledges? kwahiyo yana uwezo wa kukaa hadi 2025 yaki unga mkono juhudi za uharibifu wa taifa letu huku yakisubiri zamu yao ya uharibifu ifike yaendeleze kuharibu Tanzania. Ndo reality mbaya.
 
Huyo aliyeko madarakani akiondoka nae ataweka MTU kwa gia yyte ile maana ndio desturi ya ccm , labda itokee ugomvi tena kama ilivyotokea kwa jk wakigombana kugombea urais wao kwa wao basi hapo itakuwa sandakarawe yoyote ataunyakua na hatujui atakuwa kiongozi wa aina gani
 
Anything can happen at any time..
Btw,kuna mtu aliota ... Kafa [emoji859]️

Magufuli ndiye Rais kwa sasa, na atabaki kuwa Rais hadi muda wake wa kuondoka utakapofika.

Hakuna wa kumuondoa, waliota kafa waote vema tu....Ila pale yupo kwa kuwa wananchi walimpitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…