Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Watu wanashangaza sana! Kuwa Membe hafai kuwa Rais wa Tanzania!! Sasa huyu wa sasa ana uwezo gani wa kuongoza? Nini kimebadilika hasa ndani ya miaka mitatu ya Uongozi wake? Na vipi yeye aliandaliwa na nani wakati nasikia hata kuwahi kushika nafasi ya chini ndani ya Chama hakuwahi pia, zaidi ya kuwa Mbunge wa Chama hicho!!

Maendeleo ya watu au maisha ya Watanzania wengi hasa wa chini yameimarika kwa kiwango gani? Hakuna la zaidi tu bora CCM ibadili mfumo wake wa kihafidhina wa mihula miwili, imtose Dr Magufuli miaka 5 inamtosha tu.

Na yeye aliwahi kusema kuwa kazi yake ni ngumu anajuta, CCM impumzishe tu Dr Magufuli .
 
Purely talented, nani unayemuona anafaa na anatosha kuwa mgombea wa chama kwenye nafasi ya uraisi wa jamhuri mkuu?

Bado sijaona kama Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Tumpe ushirikiano atatufikisha mbali mno Kimafanikio na ipo siku tutakuja Kumkumbuka japo leo kuna ' Mapopoma ' wengi hawamuelewi kwa sababu zao wanazozijua Wao.
 
Nimemkumbuka kipindi.anasema akiwa rais watu 12 wajiandae pale airport kuhamia kenya
Hii ni sababu mojawapo iliyomkosesha membe nafasi ya kwenda ikulu alijiandaa kuwakomoa watu mapema mno ndiyo maana Dua zao zikamzuia kufika mbali.
 
"mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,"duh
.....atakitaka kubadili katiba hamna wakumkataza ili endelee bila kikomo...... Hi ni hatari CCM na ukongwe wote mtu mmoja anabadili mfumo uliojengwa kwa zaidi ya miaka 50. Aibu kubwa kwa taifa.
Umeleta hoja ambayo mwandishi hakuwaza...hiyo ya kuongezea muda ni yako personally mkuu.
 
Kwanza nianze kwa kukupa pole nakumbuka kipindi kilee wachina na baadhi ya watanzania wakijenga kwako ulitamka neno kama watania kumbe ulimaanisha ukisema

"Jenga vizuri mwaweza kuwa mnajenga ikulu hii, yaan ya rais nijaye"

Mkuu naomba utulie kama ambavyo lowassa kashajikatia tamaa,

Siyo kwamba huna uwezo wa.kuwa rais, la hasha, ni kwamba mchakato unaopitia kujiandaa ni mbovu,
Tunajua huyu aliyeko madarakani kashatuimbisha mpaka nyimbo za chekechekea (mpera una maua mpera unamaua, -sasa saaa ya kwenda kwetu kwaheri mwalim kwaheri tutaonanaaa)

Lakin sasa nina sababu nne za msingi ambazo zitakufanya usiwe rais wa nchi hii

1. Intelligence ya Rais wa sasa imeenea kila eneo, kabla hamjatekeleza mnalopanga anakuwa nalo nyumba nyu
nyeupe tiyari

2. Umri wako unaenda na kwa mikakati inaonekana Kuna mtu anaamdaliwa kuachiwa kiti mwaka 2025 na automatically siyo wewe maana anayeachiwa ana hulka za kimagufuli magufuli, (Magufulifier)

3. CCM mnamuogopa mwenyekiti hivyo hata mfanye nini mtatekeleza anachosema yeye, yaan ndani ya ccm hakuna wa kukemea lolote mtaishia kumtembelea na kumpa hai, nasikia kuna mwingine pamoja na kuwahi kushika nafasi kubwa kaenda pale feri akaomba camera zizimwe abembeleze vema watu wasigiswe, haha aisee,

4. Faili lako liko kwake ukileta fyoko choko, kitambi kitapungia muda si mrefu, huoni kina seth na Rugemalira??

Ushauri wangu mambo ya urais yasahau kama Kina Malechela na Lowassa au kama walivyoishia kuugulia maumivu kina Mwandosya,


Britannica
Mkuu unamtisha sana. Lazima na wewe utakuwa mmojawapo wa hao watia nia wa mafisiem. Teh.
 
Hahahaha

Membe anaonekana kuwa ni tishio
Wanajiharishia hovyo tu wakisikia jina. Wegi wao ni wale mafisiem yaliyozoea kupokezana uongozi kwasababu yanafahamu kuhusu tume mbovu ya uchaguzi. Yenyewe yanaji position hadi 2025. Si unajuwa yenyewe yana priveledges? kwahiyo yana uwezo wa kukaa hadi 2025 yaki unga mkono juhudi za uharibifu wa taifa letu huku yakisubiri zamu yao ya uharibifu ifike yaendeleze kuharibu Tanzania. Ndo reality mbaya.
 
Huyo aliyeko madarakani akiondoka nae ataweka MTU kwa gia yyte ile maana ndio desturi ya ccm , labda itokee ugomvi tena kama ilivyotokea kwa jk wakigombana kugombea urais wao kwa wao basi hapo itakuwa sandakarawe yoyote ataunyakua na hatujui atakuwa kiongozi wa aina gani
 
Anything can happen at any time..
Btw,kuna mtu aliota ... Kafa [emoji859]️

Magufuli ndiye Rais kwa sasa, na atabaki kuwa Rais hadi muda wake wa kuondoka utakapofika.

Hakuna wa kumuondoa, waliota kafa waote vema tu....Ila pale yupo kwa kuwa wananchi walimpitisha.
 
Back
Top Bottom