Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Ndg tunakualika karb sana.... kwakuwa maprofessor wetu tunawajua ni wale ambao hawajawaifanya tafiti hata kuandika article moja.

Tutakuhitaji sana porojo hatutaki. its a serious time kwa mwamsho wa mtu mweusi........
Nielekeze nitakuja sina porojo na sitataka porojo
 
melanini ndio inayosababisha mtu kuwa mweupe aumweusi pia ndo hivyo hakuna kingine
 
Never hawaipendi kihivyo bali wanapenda kuoa/kuolewa na weusi na wana sababu zao fulani za kijinga kwamba weusi ni so humble na kiukweli ni wazungu wachache, kama kweli wangeipenda nyeusi kihivyo tayari wangeshafanya mambo
kwn we ni mzungu mbona unawasemea wazungu utadhani Kama ulishawai kuwa mzungu au mtu mweupe.....we no mweusi kabisa nakujua maswali yanayowahusu wazungu acha yajibiwe na wazungu wenyewe
 
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??
 
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??

😛😛😛😛 Duh watu wanajifanya wanakijua kizungu kumbe 0....eti tropically, huwenda na yy ka-copi na kupaste
 
Sijawahi kuona taahira kama hili yani nimekua nikifuatilia michango yake yani ni utumbo mtupu......sijui una umri gani....kwa mfano nimeona unakomaa na neno "tropically" unajua maana yake??
Yaani wewe ukishindwa kutoa msaada badala yake ukashangaa, Sisi tunakushangaa kwanini Umeshangaa.

By theway, Tatizo ukilijua sio Tatizo.
Ila sasa ukilijua tatizo na ukashindwa kuliondoa WEWE ndo unakuwa TATIZO.
 
I totally agree with you man wings suits birds and poison is a good wepon kwa Spider
 
Kwanini wazungu wakija Afrika wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mzungu badala ya kuzaa mweusi.

The same na Waafrika wakienda Ulaya au Uhindini wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mweusi na sio mzungu


Mkuu evolution si a slow process which takes thousands of years to notice so mzungu kaja africa miaka500 iliopita bado ni muda mfupi sana kuona changes hizo kutokea
 
Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
Mi hoja yangu sio rangi ya,ngozi! mbona hata pua , upana wa midomo na muundo wa ngozi ya kope tunatofautiana sana!

pua ya mwafrika ni pana wakati huo ya mzungu ni ndefu na nyembamba!

Hebu fikria na macho ya wachina au macho ya wajapani!

Nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu!!
 
mtu mweupe hawez kuwa mweus labda mweusi kuwa mweupe hapa hakuna sababu ya mazingira wala nn hapa ni uumbaji tu kuna watu aina nne MWEUS NJANO ALBINO MZUNGU au MWEUPE.
hapa kuna kitu kinaitwa melanin haya ndo madin yanayoleta au sababisha langi kwa binadam mweusi ana melanin nyingi anafatiwa na mzungu mwupe then wa njano albino hyu ndo anaupungufu mkubwa wa hiz melanin ambazo huwa zipo kwenye layer ya juu ya ngoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…