Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Huwa ninapata shaka sana kumkuta mtu alielimika amekumbatia Quran au Bible akitegemea imkomboe Kwanini tusijiunge na kuanza harakati ya kusimamia nature inasemaje sio tena mambo ya kuamini hapana yani tusimamie kwenye uhalisia na kuelemisha jamii
Usipo badilika utakufa ktk fikra zako potofu na hatimaye kuwa mmoja ya watu wenye hasara sana kwa kuingia ktk moto wa milele hivi unadhani hiyo nature ilijileta yenyewe??? Sasa ujue kuna nguvu ya ziada nyuma ya hiyo nature na nguvu hiyo ni ya Mungu muumbaji unavyoona jua linawaka, chemichem, mvua kunyesha na nguvu zote za asili zinashikiliwa na Mungu pekee na yeye ndie sababu ya kila kitu

Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa vinginevyo utaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu kama sio leo utaangamia ktk moto wa milele kama kuna kitabu cha wakati wote na chenye mauzo makubwa biblia ni kimojawapo na hichi pekee ndicho chenye uzima wa milele nje ya biblia ni kujichimbia kaburi soma biblia ndugu ni kitabu muhimu kuliko unavyokidhania ukisoma utaipata elimu na furaha ya kweli kwa maisha ya sasa na ya baadae
 
Never hawaipendi kihivyo bali wanapenda kuoa/kuolewa na weusi na wana sababu zao fulani za kijinga kwamba weusi ni so humble na kiukweli ni wazungu wachache, kama kweli wangeipenda nyeusi kihivyo tayari wangeshafanya mambo
Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi mi nakataa
Na km ikikubali basi utakua weusi wa kuungua na sio ule wa kiafrika
 
Hakuna kilichokosewa hakuna kilichopungua ni style tu ya uumbaji, kumbuka kuna watu wa njano pia...uumbaji una variety nyingi sana kutegemeana na hali ya hewa ya mahali husika, kila kitu kiko kwenye mahesabu yaliyokusudiwa na kutosheleza.

Kumbuka hii si kwa binadamu bali hata wanyama na vitu vingine vyote kama chakula nyumba nguo nk nk
Mkuu unaposema, uumbaji kulingana na mazingira una maana gani mzee au kuna muumbaji wa mazingira ya ulaya, Asia na Afrika, au kuna wanadamu waliumbiwa Ulaya wengine Africa na wengine ulaya fafanua
 
Why now days when an african move out of Africa to Europe the color of his skin does not change to be white?
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
 
Mkuu unaposema, uumbaji kulingana na mazingira una maana gani mzee au kuna muumbaji wa mazingira ya ulaya, Asia na Afrika, au kuna wanadamu waliumbiwa Ulaya wengine Africa na wengine ulaya fafanua
Hali ya hewa na mazingira
 
Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
Kwa nini black America and black colored people in Europe kama sissoko , pogba hawajaanza hata kubadilika na wamezaliwa ulaya?
 
Hapo ndipo mtambue kuwa Mungu ni Mwafrika ila kanyamaza tu ili waafrika awapime imani ,Watu weupe wametokana na watu weusi ,Kipindi cha nyuma watu weupe wa sasa walikuwa weusi na kuamua kwenda misri na wakajikuta wapo ulaya na Asia ,Hivyo hali ya hewa iliwabadilisha na kuwa weupe kulingana na mazingira eg.wachina,wahindi,warabu,wazungu,etc. isipokuwa WAJERUMAN ambao inasadikika walikuja wakiwa weupe kutoka sayari nyingine(walikuwa wawili tu wakiume na wakike)
 
Nashauri mwenye akili asome kwakua amepata uwezo wa kusoma. Uchaguzi wa kipi afuate ubaki kwake mwenyewe.
Hakuna tena mapokeo mapia. Hata wanaojiita manabii wa sasa wengi kuna maswali magumu sana kuyajibu kuhusu unabii wao.
Tusome na tutafute elimu.
 
Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
mmoja wapo ni super star EMINEM
 
Usipo badilika utakufa ktk fikra zako potofu na hatimaye kuwa mmoja ya watu wenye hasara sana kwa kuingia ktk moto wa milele hivi unadhani hiyo nature ilijileta yenyewe??? Sasa ujue kuna nguvu ya ziada nyuma ya hiyo nature na nguvu hiyo ni ya Mungu muumbaji unavyoona jua linawaka, chemichem, mvua kunyesha na nguvu zote za asili zinashikiliwa na Mungu pekee na yeye ndie sababu ya kila kitu

Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa vinginevyo utaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu kama sio leo utaangamia ktk moto wa milele kama kuna kitabu cha wakati wote na chenye mauzo makubwa biblia ni kimojawapo na hichi pekee ndicho chenye uzima wa milele nje ya biblia ni kujichimbia kaburi soma biblia ndugu ni kitabu muhimu kuliko unavyokidhania ukisoma utaipata elimu na furaha ya kweli kwa maisha ya sasa na ya baadae
Moto wa milele ndo nini? Uko wapi?
 
Mbona Tz Tunaishi na watu aina zote # Muhindi, Mchina, Mkorea na Mwarabu na wengine wengi ILA HAWABADIRIKI na kuwa kama sisi ikiwa ni kweli Tunategemea Tropical and Nature to change color...?
Evolution is not an overnight process. It takes hundreds of thousands of years. We cannot observe it with our eyes but we can prove it historically
 
Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi mi nakataa
Na km ikikubali basi utakua weusi wa kuungua na sio ule wa kiafrika
Ukweli ni kwamba, wenzetu hata akipata jeraha basi akipona ngozi yake ikipona hawabaki na makovu kama sisi
 
Ngoja nami niwasubiri wataalamu maana huyu Vera Sidika ananichanganya sana.

Maana kawa mzungu pure....au kuna surgery ya kubadili rangi ya ngozi?
Vera-Sidika-before-after-IG.jpg

Before and After
 
Ukifa utaukuta, wala usiumize kichwa.
Usimwamini mzungu na mwarabu bro kumbuka lengo lao lilikuwa kuja kutafuta pesa na sio kueneza Dini, Hakuna moto wa milele ila kuna maisha ya milele, Usisome kitabu kimoja tu cha imani, soma vingi tofauti, utapata mwanga fulani na yawezekana ukatoka gizani
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color

Hivi watu wa njombe ni weupe manake huko kuna baridi dar napo je watu wake ni weusi sana coz kuna joto jingi
Au wale negro waliopelekwa America miaka ya 1600's nao wamebarika na kuwa weupe ?
Mi nadhani weupe na weusi zote ni rangi ambazo Mungu alikusudia kuwapamba wanadamu ili kuipendezesha zaidi dunia na kuonesha ukuu wake tunaona hata katika wanyama mfano kuku ,mbuzim na ng'ombe nao wanarangi nyingi za tofauti pia hata nafaka na mimea

Rejea kwenye TUKIO LA BABELI kwa mujibu wa biblia. wanadamu walianza ujenzi wa mnara mrefu kwa dhumuni la kumfikia Mungu aliko,ila Mungu akawachanganya kdg tu kwa kuwafanya waongee kila mtu kwa lugha tofauti japo mwanzo walikuwa wanatumia lugha moja hivyo Mungu akawachanganya na wakajikuta wananena kwa lugha tofauti na kushindwa kuelewana mwisho ujenzi ukafa na kila mmoja akapatana na anaelewana na kushika njia kuanzisha maisha pande tofauti za dunia
hivyo nafikiri hata suala la rangi limetokea kwa lengo la kuupendezesha ulimwengu tu na si vinginevyo,
fikiria pia kwanini pia binadamu hatujaumbwa kwa sura moja kuna warefu na wafupi mbilikimo,wenye nywele ndefu na wengine kipilipili? na hii kitu ipo ht Tanzania kwanini tusifanane wote tu?
 
Akili ya binadamu inapoishia ndipo akili ya Mungu inapoanzia. The theory of evolution is a scientific way of admitting that something is beyond human's comprehension! Just think about it: if human beings were once apes, thousands of years ago, why do we still have apes today? Why did these apes not evolve, alongside others that did, to become human beings? Better yet, how close are they to becoming human beings, compared to how they were thousands of years ago?
 
Usipo badilika utakufa ktk fikra zako potofu na hatimaye kuwa mmoja ya watu wenye hasara sana kwa kuingia ktk moto wa milele hivi unadhani hiyo nature ilijileta yenyewe??? Sasa ujue kuna nguvu ya ziada nyuma ya hiyo nature na nguvu hiyo ni ya Mungu muumbaji unavyoona jua linawaka, chemichem, mvua kunyesha na nguvu zote za asili zinashikiliwa na Mungu pekee na yeye ndie sababu ya kila kitu

Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa vinginevyo utaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu kama sio leo utaangamia ktk moto wa milele kama kuna kitabu cha wakati wote na chenye mauzo makubwa biblia ni kimojawapo na hichi pekee ndicho chenye uzima wa milele nje ya biblia ni kujichimbia kaburi soma biblia ndugu ni kitabu muhimu kuliko unavyokidhania ukisoma utaipata elimu na furaha ya kweli kwa maisha ya sasa na ya baadae

Acha upumb.avu ww. Ndo maana akili yako inakuwa kama kurasa za hiyo bibilia kwasababu hutaki kushuhulisha akili yako.

Soma na tumia akili yako vzr acha woga Wa kutafuta maaridfa
 
Hapo ndipo mtambue kuwa Mungu ni Mwafrika ila kanyamaza tu ili waafrika awapime imani ,Watu weupe wametokana na watu weusi ,Kipindi cha nyuma watu weupe wa sasa walikuwa weusi na kuamua kwenda misri na wakajikuta wapo ulaya na Asia ,Hivyo hali ya hewa iliwabadilisha na kuwa weupe kulingana na mazingira eg.wachina,wahindi,warabu,wazungu,etc. isipokuwa WAJERUMAN ambao inasadikika walikuja wakiwa weupe kutoka sayari nyingine(walikuwa wawili tu wakiume na wakike)

Mkuu hizi story unatoa wap
 
Back
Top Bottom