Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Usipo badilika utakufa ktk fikra zako potofu na hatimaye kuwa mmoja ya watu wenye hasara sana kwa kuingia ktk moto wa milele hivi unadhani hiyo nature ilijileta yenyewe??? Sasa ujue kuna nguvu ya ziada nyuma ya hiyo nature na nguvu hiyo ni ya Mungu muumbaji unavyoona jua linawaka, chemichem, mvua kunyesha na nguvu zote za asili zinashikiliwa na Mungu pekee na yeye ndie sababu ya kila kituHuwa ninapata shaka sana kumkuta mtu alielimika amekumbatia Quran au Bible akitegemea imkomboe Kwanini tusijiunge na kuanza harakati ya kusimamia nature inasemaje sio tena mambo ya kuamini hapana yani tusimamie kwenye uhalisia na kuelemisha jamii
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa vinginevyo utaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu kama sio leo utaangamia ktk moto wa milele kama kuna kitabu cha wakati wote na chenye mauzo makubwa biblia ni kimojawapo na hichi pekee ndicho chenye uzima wa milele nje ya biblia ni kujichimbia kaburi soma biblia ndugu ni kitabu muhimu kuliko unavyokidhania ukisoma utaipata elimu na furaha ya kweli kwa maisha ya sasa na ya baadae