Why blacks?

Why blacks?

Ubaguzi ni ubaguzi tu!
Kuna miundo mengi sana ya ubaguzi:
1 rangi!
2 dini!
3 jinsia! Nk nk!

Sema kwa vile wewe umeona ubaguzi huo, nakubali ni ubaguzi but sababu za ubaguzi huo ni zile zile kama za ubaguzi mwengine!

Sababu kuu ya ubaguzi ni kujiona wewe ni bora kuliko wengine kutokana some development uliopata or uliyozaliwa nayo!

Majews wanaubaguzi wa kikabila! Kwao wao mtu yeyote asiyekuwa jews wanambagua! Refers intermarriage na hata social interactions!

Wadutch pia ni wabaguzi, hawataki hata kuchanganyika na wazungu wengine achilia mbali watu weusi! Refers Boer movement frm cost area to interior part kule South Afrika! Walihama cape town kuelekea Natal na Transvaal! Hapo waliepusha kujichanganya na wazungu (British)

Hawakuishia hapo! British alipoamua kuwafata huko (kwa sababu ya dhahabu) kulitokea Anglo boer war 1 & 2 1800s

Na baada ya hapo ndio kukatokea Apatheid policy!

Rudi India! Kule kunaubaguzi wa kipato, maskini wanabaguliwa sana!
...
Kwa mantiki hiyo, Ubaguzi ni ubaguzi tu, uwe wa rangi uwe kabila au namna nyengine yoyote ile!
Na source ni human nature: Human beings are selfish in nature

KITENDO CHA KUJIHISI NI WEWE TU NDIO UNABAGULIWA NI MENTAL DISORDER NA UNAHITAJI TIBA MBADALA!
Mkuu hapo chini umemaliza vizuri sana. Ni kama umeandika kile nilichokuwa nafikiria mimi.
 
Mkuu hapo chini umemaliza vizuri sana. Ni kama umeandika kile nilichokuwa nafikiria mimi.

mjasiria waafrika tunajibagua na kujidharau wenyewe!
Naamini ubaguzi wa rangi (weusi) upo but kuungalia ubaguzi huo kama ubaguzi pekee ni ujinga na kujirudisha nyuma wewe mwenyewe!
 
Kwa kiasi fulani naweza kukubali kwamba yaliyopita si ndwele.

Lakini pia kinga na kinga ndipo moto uwakapo, na tena mtondoo haufi maji kama vile jungu kuu lisivyokosa ukoko.

Kwa hiyo kueleweshana ni ada.

Bila kujua yaliyopita, hata hayo yajayo kuganga itakuwa vigumu, watoto ambao hawajasoma Herodotus na Homer watafikiri watu weusi siku zote walikuwa wanyonge kwa weupe tu. Wakati Herodotus kaandika habari za majeshi ya Cambyses yalivyokula kichapo kikali mpaka ku retreat kutoka kwa healthy "Ethiopian" (the ancient name for black Africans) soldiers. Herodotus kaandika kwamba Ethiopians walikuwa warefu, wazuri na wanaishi maisha marefu kuliko sehemu yoyote.

Hakuna kujenga uelewa mzuri unaotazama mbele kwa kuzingatia usawa wa binadamu kama hatujaeleweshana kwamba hii hali ya unyonge tuliyonayo sasa imeanza relatively late na haikuwa hivi siku zote.

Vijana wakijua kwamba kuna wakati mtu mweusi alikuwa ni mtu mwingine tu dunia hii, si mtu wa chini kwa mwingine, labda wataweza kujua kwamba tunaweza kurudi hapo tena.

Kwa hiyo, kwa mtazamo huo, yaliyopita yanaweza kuwa na umuhimu hata kama tunajua kwamba hatuwezi kuishi kwenye past glory.

Kitabu kinaitwaje mkuu?
 
Sio weusi kuna tabia ukiwa nazo utabaguliwa
Ukiwa kilaza
Ukiwa muongo
Ukiwa huna plan ya maisha upo tu mtaani
Ukiwa wewe kazi yako kusbuhulikia watu tu
 
Tulianza kubaguana sisi wao wakadakia tu na tunaendelea hivyo!!! Chunguza
 
Toka kuumbwa kwa huu ulimwengu mtu mweusi amekua akibaguliwa na mtu mweupe! hivi nini asili ya chuki hii...

Mkuu, jibu la swali hili ni jepesi. Weupe wengi wanajua kuwa blacks wana superior qualities juu yao. Kuwabagua weusi ni kutokana na hisia zao za upungufu. Pia haya unayoyaona kama madhila sio hali ya kudumu milele. Kuna mahali kutakuwa na turning point
 
Sio weusi kuna tabia ukiwa nazo utabaguliwa
Ukiwa kilaza
Ukiwa muongo
Ukiwa huna plan ya maisha upo tu mtaani
Ukiwa wewe kazi yako kusbuhulikia watu tu
mankachara, blacks hawana asili ya kubagua binadamu wenzao kwa misingi ya rangi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mugsbe ni diktets aliyeua wananchi wake zaidi ya 20,000 Matabeleland na kukataa kuschia madsraka, hardly the beacon of integrity.

Vp kama walikuwa vipandikizi vya magharibi kama tulivyoona na kujiidhiirisha kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini zimbabwe.
Kugawa ardhi kwa wazimbabwe weusi zilizoshikiliwa na wazungu lakini uhuru una malipo je kiranga sijakuelewa
 
Vp kama walikuwa vipandikizi vya magharibi kama tulivyoona na kujiidhiirisha kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini zimbabwe.
Kugawa ardhi kwa wazimbabwe weusi zilizoshikiliwa na wazungu lakini uhuru una malipo je kiranga sijakuelewa

Utawala wa sheria una hukumu za kimahakama kwa waliotenda makosa, sio mauaji ya kinyama.
 
I alwayz believed that the history of the world have been changed a lot only for some purpose of some people. Ukiangalia sana historia haikuzungumza kabisa origin ya waafrika na zile ambazo zimejaribu kugusia sio kwa undani zaidi. Hii inaonesha hata vitabu vingi tunavyovitumia kama reference pia vimechakachuliwa sana.
Kuna article moja ya illuminant kuhusu habari zinazotolewa na vyombo vya habari wanasema "We tell them what we need them to know, we programme everything to be news" Kwa utaratibu wa namna hii lets believe that even religions have been altered to benefit their need, to create fears among the people inorder to rule them. Believe it or not this may be true.
 
Mkuu tatizo historia yetu haijaandikwa hivi....na huko ndipo hata mitaala yetu inazidi kutubrainwash na kutufanya tuwe inferior

It is true syllabus ya historia mwaka 2010 hapa tz imeondoa baadhi ya facts about Africans...new generation will never attain what kiranga explained
 
Wazungu wanajua kuwa mtu mweisi ni hatari sana......ukimwachia atawafunika watu weusi....tangia Mapinduzi ya haki za wanadamu duniani...watu weusi wanaelekea kutapakaa dunia nzima...baada ya karne 2 nusu ya population ya dunia hii itakuwa ya watu weisi, believe or not.
 
Back
Top Bottom