Why ccm is addicted with micro projects

Why ccm is addicted with micro projects

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21.
Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60.
Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960.

Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
99881D28-3A40-4AEB-842B-3F16398B183A.jpeg
 
Nikiangalia vile vijumba vya masai waliohamishwa nashangaa sana. Unamuhamisha mtu halafu kijumba unachompa aishi maisha mapya hakina uwiano na tendo la kumuhamisha
Ilaa waafrika, ndio maana wazungu nk wana tu 'lable' kuwa tuna mvio wa ubongo. Yaani IQ zetu ni chini ya 80.
 
Mkuu Ghana wamejitahidi ukiangalia mradi wao wa shule za sayansi 'STEMS' unashawishika kuwa kuna msomi aliwaza jambo la karne. Kama hujaziona zile shule nenda google, hizi za Samia chamtoto yasni ni kama hostrl tu.
 
nimeona izo shule hata vyuo vyetu havifikii
 
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21.
Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60.
Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960.

Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendaniView attachment 3180933
Afrika Kusini wakati wa makaburu walikuwa wanaviita "matchbox" (vibiriti), hapa Tanganyika tuliviita "kambi za manamba", sasa hawa makaburu weusi nao wamevirudisha. Haya yalitarajiwa yawe makazi aina ya kijiji si waajiriwa manamba wa shamba la mkonge, hivyo vibiriti hivi havikustahili kubananishwa namna hii kama makaburi ya Kinondoni wakati ardhi ni kubwa.
 
Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21.
Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60.
Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960.

Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendaniView attachment 3180933
Kwani Kufanya mamiradi makubwa Kwa Ajili ya kupiga picha unamfurahisha nani?

Kabla ya hizo nyumba walikuwa Wanaishi kwenye mabanda.
 
Kaka nchi zetu ziko katika uchumi wa kujikimu pia kwangu mie sababu bado hatuna shida ya Ardhi acha tusambaze vijumba kama Kete za zumna na la maana zaid nature ya mfumo wetu wa maisha wa kiafrika ni bora wajenge hivyo kuliko waweke ghorofa kumi zenye apartment ambavyo zina vyumba vidogo kama vibanda vya njiwa

Inaonekana trend ya dunia sasa hivi ukubwa wa vyumba umepungua sana. Basi Bora kuwa na nyumba ya chini yenye vyumba vidogo kuliko nyumba ya ghorofa yenye vyumba vidogo

Hapo bado hatujazungumzia mfumo wetu wa maisha ya kiafrika na Kwa uchumi huu wa kujikimu ambapo hakuna mifumo ya bomba za gas majumban na umeme usio wa uhakika na maji yasio na uhakika. Bila kusahau maisha yetu ya extended family ndugu na jamaa wanatoka huko kuja kuishi na nyie.. imagine uko ghorofa ya saba upandishe gas, huwez pikia mkaa juu.. au maji yawe changamoto
 
Kwani Kufanya mamiradi makubwa Kwa Ajili ya kupiga picha unamfurahisha nani?

Kabla ya hizo nyumba walikuwa Wanaishi kwenye mabanda.
Hayo ni mabanda!!
Mkuu mbona unaphobia ya advancement na maendeleo!!

Kwa weredi wako hii comment unajiabisha.
Labda uniambia ni mwanao alichukua picha akapost
 
Back
Top Bottom