Why Facebook Co-Founder Mark Zuckerberg is an Atheist?

Unampuuza unamwogopa ? Acha utoto...wewe jibu hoja zske nawe kacopy na upaste majibu kwenye hoja husika.
Ulimbukeni unwatesa sana....
Hawa Jamaa wanamugopa sana Ishmaeli.. wanaanza kuleta hoja za lugha
 

Acha ujinga wewe, mkristo nimfuasi / mwanafunzi wa Yesu Kristo.
Hivyo ili upate rejea ya Nani ni Mkristo rejea mafundisho ya Yesu Kristo na sio matendo ya wajiitao Wakristo.
Yesu Kristo akisema si kila ameitaye Bwana ni mfuasi wake. Hivyo nawe jifunze kujua hilo.

Vigezo na masharti kuwa Mkristo lazima vizingatiwe...
 

...Nimeutoa kule uliko utoa wa hakuna mungu.
 

....ni binadam wenye uwezo wa kukariri Tu ! Hawana uwezo wa kupambanua kile wanachokikariri...
 

Wewe huyo jamaa unadhani ana hoja kwa sababu anayoyazungumza huyaelewi na unayaona ya ajabu, lakini Mimi niliyemtolea hoja na kumfanya atokwe povu ndie naejua kuwa uwezo wake ni mdogo sana. Kujenga hoja kwa kutegemea lugha nyepesi za kitoto si kujua mambo.
Kiranga Mnamuogopa sana inaelekea, mimi simtegemei yeye, tunashare mtazamo tu.
 
Unampuuza unamwogopa ? Acha utoto...wewe jibu hoja zske nawe kacopy na upaste majibu kwenye hoja husika.
Ulimbukeni unwatesa sana....

Hahaha! Mangapi Nimeyahoji akashindwa kuyafafanua? Na hata wewe hutaweza, tumetoka nae mbali,acha wewe umeibuka sasa.
Labda uniambie sasa, Mungu alitoka wapi?


Mungu ni dini gani? Hayo unayoyasema umeyatoa wapi? Afrika kusini kuna msikiti ulifunguliwa na ulikuwa ukikaribisha makundi yote yakiwamo ya mashoga.
Kanisa la Anglican linatambua ushoga na wao ni wakristo pia.
Mapadri wa kikatoliki wanalawiti watoto kila kukicha na haohao ndio waalimu wa ukristo.
Sasa wewe tuambie hayo uliyoyasema umeyatoa wapi?
 

Hapa tunakieleza tunachokijua, mambo ya umaarufu si mahali pake. Kwani kuna ubaya gani mtu kutafuta majibu au kuhoji kile kinachotia shaka?
 
Last edited by a moderator:
Hapa tunakieleza tunachokijua, mambo ya umaarufu si mahali pake. Kwani kuna ubaya gani mtu kutafuta majibu au kuhoji kile kinachotia shaka?

Hilo ndilo kuu. Na hiyo busara ingekuongoza kwenye mijadala ungekuwa ni mjadilianaji mzuri. Kusingizia ati unapuuza kujibu hoja kwa kisingixio cha mtoa hoja ni uwoga wa kitoto....
 

Jibu maswali hayo, Mungu ana dini gani?
 

Huoni hoja kwenye andikshi la Ishmael acha woga wewe ! Jibu hoja zake tumia lugha ya kitoto Kama anayotumia lakini jibu hoja zake.
Kujua kwamba lugha ni ya kitoto inaonyesha Una ujuzi nayo ! Itumie ujibu hoja acha uwoga.. Kiranga kaomba poo kwa kutumia ignore list maana amegundua anadharirika kwa kariri zake nawe unafuata njia hiyo hiyo kwa visingizio vinavyofanana ...
 
Last edited by a moderator:
Jibu maswali hayo, Mungu ana dini gani?

Kuhusu swala la vigezo vya ukristo, kwenye hicho kitabu chenu imeandikwa lolote mtakalolipanga hapa duniani basi na mbinguni itakuwa hivyo. Utasemaje waliokubaliana kuwapokea mashoga na kuzifungisha ndoa zao si wakristo wakati ni kitu kilichopangwa na mamlaka zao za kikanisa?
 
Hilo ndilo kuu. Na hiyo busara ingekuongoza kwenye mijadala ungekuwa ni mjadilianaji mzuri. Kusingizia ati unapuuza kujibu hoja kwa kisingixio cha mtoa hoja ni uwoga wa kitoto....

Nadhani waoga ni nyinyi kwa sababu mnakimbilia kuzungumza kwa namna ambayo nyinyi wenyewe mtu akiitumia dhidi yenu mnaanza kulalama.
Jibu hayo maswali turudi kwenye mjadala
 

Tengeneza swali lako vizuri, shirikisha ubongo...ukizungumzia "wapi" unazungumzia space, yeye ndiye muumba wa time, space and matter hivyo yeye ni zaidi ya "wapi"
Sina uhakika Kama utaelewa.

Mungu Hana dini ni swali la kijuha mno. Dini ni neno linalomaanisha njia watumiazo binadam kumtafuta Mungu... Wewe wauliza Mungu hitumia njia gani kumtafuta Mungu.

Ninayosema yanatoka kwa Mungu maana kwake ndiko kuliko na maadili na fikra.
Kanisa uhusiano na Kweli ya Kristo Kama haliitendi ile kweli.
Anglican ni kundi la wajiitao wakristo huku wakitamani Kuwa Atheist,katika Kuwa mkristo ni budi kufuata maadili kwa kadri ya Mungu.
Wanaolawiti ni kwa kuwa wanatumia free will waliyopewa na Mungu lakini si kwamba ndiyo kweli ya Mungu.
 

Nani aliambiwa hilo agizo, unasoma biblia Kama kasuku.
Petro ndiye aliambiwa lolote atalolifunga duniani litafungwa hata mbinguni. Sasa nionyeshe wapi Petro alibariki mabwabwa muhudumu katika kutaniko la wakristo (kanisa)...
 

Ishmael nimemhoji akadai ameleta majibu. Lakini majibu yake huwa haysonyeshi uhusiano na kile nachohoji labda uwe mtu ambae una mtazamo kama wenu.
Anadai mungu ndie chanzo cha vitu vyote, ukihoji ni ushahidi gani unaoonyesha hilo anaanza kujikanyaga na kutumia lugha ambazo binafsi sioni kama zina mantiki. Akielemewa anaanza kucopy maandishi ya watu, nayo hayana ufafanuzi juu ya uhusiano wake na uwepo wa mungu lakini bado anakuwa na ubishi usio na msingi, ni jambo lisilojenga.
Jenga hoja, na mimi nilete hoja, kutumia lugha za mtaani ni jambo ambalo kila mtu analiweza lakini faida yake iko wapi kama si kujionyesha ulivyo na mapungufu?
Sasa hebu nipatie majibu.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani waoga ni nyinyi kwa sababu mnakimbilia kuzungumza kwa namna ambayo nyinyi wenyewe mtu akiitumia dhidi yenu mnaanza kulalama.
Jibu hayo maswali turudi kwenye mjadala

Hutanisikia nikilalalama, hutanisikia nikiripoti abuse...wala siwezi kutumia poo ya ignore list lete hoja yako tusemezane...
 
Ni kitu kizuri kwa wazalishaji wa ARV na wanaotengeneza supplements ni kibaya kwa yule anayeugua na wale wanaomuuguza.

Kwa hiyo hapo ulipo mke wako, baba yako, mama yako wakiupata utashukuru kwa kuwa wanamuongezea mapato mzalishaji wa ARVs ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…