Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni dini gani? Hayo unayoyasema umeyatoa wapi? Afrika kusini kuna msikiti ulifunguliwa na ulikuwa ukikaribisha makundi yote yakiwamo ya mashoga.
Kanisa la Anglican linatambua ushoga na wao ni wakristo pia.
Mapadri wa kikatoliki wanalawiti watoto kila kukicha na haohao ndio waalimu wa ukristo.
Sasa wewe tuambie hayo uliyoyasema umeyatoa wapi?
Siuoni uzito wa hoja yako labda uniambie huo ushahidi kuwa kila asiemuamini mungu wako ni shoga umeutoa wapi?
Nachofahamu ushoga hauchagui mitazamo ndio maana kuna wakristo, waislamu, mapadri, mashekhe na watu kutoka katika makundi mengi tu ambao ni mashoga.
Ukimwi ni kitu kizuri?
Hawa jamaa wanashangaza sana, mtu akisha pata degree moja au mbili anajifanya ni msomi na wana msemo wao the way unavyosoma sana ndio unavyokuja kufahamu kuwa hakuna Mungu. Mzungu huyo huyo kakuletea imani ya dini ukaipokea umepata degree moja unaikataa, mnabaki kusema tumepokea vitu na kuamini tu bila kufikiri kwa kina. Lakini huyo huyo mzungu ndio amekeletea elimu inayokufanya uwe na ubavu wa kujifanya una question kila kilicho mbele yako. Je imani na elimu zisingeletwa na hawa jamaa mngekuwa kwenye position gani? Mngekuwa na uwezo wa kusema hakuna Mungu?
Big Bang theory ni hadithi ya kusadikika tu kama hadithi za sungura na fisi nashangaa why mnashindwa ku question utata uliojaa mle ndani na kuamini tu kama wajinga.. Atheist ni watu dhaifu sana linapokuja suala la kutumia common sense kwa kuendeshewa na hisia za ujuaji na kutaka recognition from the society kuwa they know every thing
Hakuna unachoweza kumjibu huyo jamaa, maelezo yako yanaonesha unatokwa povu hata huyo kianga naona kama anamkwepa sana jamaa.. ukisingizia lugha ni uongo kila mtu ana express hisia zake the way anaona inafaa, ama huelewi lugha na kama lugha unayotumia unaielewa basi huna uwezo wa kujibu hoja zake unaishia kuonesha udhaifu kwa comments zako.
Unampuuza unamwogopa ? Acha utoto...wewe jibu hoja zske nawe kacopy na upaste majibu kwenye hoja husika.
Ulimbukeni unwatesa sana....
Kuu hawa ni waoga tu.Lugha inawahusu nini waangalie na wajibu hoja inayokuja Mbele yao Unataka kutuamini kwamba wao ndiye wenye copyright ya kila wanachoandika humu.
Ukweli ni kwamba Ishmael anawatibilia maana wanataka waonwe ni super katika ulimbukeni wao
Hapa tunakieleza tunachokijua, mambo ya umaarufu si mahali pake. Kwani kuna ubaya gani mtu kutafuta majibu au kuhoji kile kinachotia shaka?
Acha ujinga wewe, mkristo nimfuasi / mwanafunzi wa Yesu Kristo.
Hivyo ili upate rejea ya Nani ni Mkristo rejea mafundisho ya Yesu Kristo na sio matendo ya wajiitao Wakristo.
Yesu Kristo akisema si kila ameitaye Bwana ni mfuasi wake. Hivyo nawe jifunze kujua hilo.
Vigezo na masharti kuwa Mkristo lazima vizingatiwe...
Wewe huyo jamaa unadhani ana hoja kwa sababu anayoyazungumza huyaelewi na unayaona ya ajabu, lakini Mimi niliyemtolea hoja na kumfanya atokwe povu ndie naejua kuwa uwezo wake ni mdogo sana. Kujenga hoja kwa kutegemea lugha nyepesi za kitoto si kujua mambo.
Kiranga Mnamuogopa sana inaelekea, mimi simtegemei yeye, tunashare mtazamo tu.
Jibu maswali hayo, Mungu ana dini gani?
Hilo ndilo kuu. Na hiyo busara ingekuongoza kwenye mijadala ungekuwa ni mjadilianaji mzuri. Kusingizia ati unapuuza kujibu hoja kwa kisingixio cha mtoa hoja ni uwoga wa kitoto....
Hahaha! Mangapi Nimeyahoji akashindwa kuyafafanua? Na hata wewe hutaweza, tumetoka nae mbali,acha wewe umeibuka sasa.
Labda uniambie sasa, Mungu alitoka wapi?
Mungu ni dini gani? Hayo unayoyasema umeyatoa wapi? Afrika kusini kuna msikiti ulifunguliwa na ulikuwa ukikaribisha makundi yote yakiwamo ya mashoga.
Kanisa la Anglican linatambua ushoga na wao ni wakristo pia.
Mapadri wa kikatoliki wanalawiti watoto kila kukicha na haohao ndio waalimu wa ukristo.
Sasa wewe tuambie hayo uliyoyasema umeyatoa wapi?
Kuhusu swala la vigezo vya ukristo, kwenye hicho kitabu chenu imeandikwa lolote mtakalolipanga hapa duniani basi na mbinguni itakuwa hivyo. Utasemaje waliokubaliana kuwapokea mashoga na kuzifungisha ndoa zao si wakristo wakati ni kitu kilichopangwa na mamlaka zao za kikanisa?
Huoni hoja kwenye andikshi la Ishmael acha woga wewe ! Jibu hoja zake tumia lugha ya kitoto Kama anayotumia lakini jibu hoja zake.
Kujua kwamba lugha ni ya kitoto inaonyesha Una ujuzi nayo ! Itumie ujibu hoja acha uwoga.. Kiranga kaomba poo kwa kutumia ignore list maana amegundua anadharirika kwa kariri zake nawe unafuata njia hiyo hiyo kwa visingizio vinavyofanana ...
Nadhani waoga ni nyinyi kwa sababu mnakimbilia kuzungumza kwa namna ambayo nyinyi wenyewe mtu akiitumia dhidi yenu mnaanza kulalama.
Jibu hayo maswali turudi kwenye mjadala
...Nimeutoa kule uliko utoa wa hakuna mungu.
Hii ni dalili ya kukosa majibu
Ni kitu kizuri kwa wazalishaji wa ARV na wanaotengeneza supplements ni kibaya kwa yule anayeugua na wale wanaomuuguza.