Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Wangu huwa anasema nimsindikize karume akaangalie hata sendo tunapanda zetu Hicha tunafanya mizururo baadaye anasema asante kwa kunitoa auti au ni auti gani zingine zinahitajika
 
Nimesoma mpaka kichwa kikaanza kuuma, enewei wacha niendelee kuitafuta salari, bado nina safari ndefu mno. Ilaa

Kiberengeee aka KENZY Njoo huku uone ya dada yako
 
Ndoa ajira kazi kwelikweli
 
Mwamba anaezungumzwa ndo Mimi ila ni vile tu hujajaribu kutuma maombi.
 
mzabzab kuna muujiza huku
 
Zamani nilikuwa nawapata so nimezoea hiyo hali
Usizoee vitu usivyoweza kuvifanya twice.. mimi binafsi nmeenda out 70% ya restaurant/Beach bars zote za Oysterbay na sehemu zingine zingine au hata Bars sometimes lakini kote huko siwahi kwenda na Mpenzi hizo ni out tu najitoa binafsi mimi na mpenzi wala sponsor nikienda na mtu ujue best yangu tu.. zoea kitu kilicho ndani ya uwezo usizoee vitu vya "labda" ukipata wa kwenda ibungu we nenda sio kila mtu atakupeleka Samaki Samaki mamaa
Sasa mbona unaongea ukweli kabisa hahaha
Ndo maisha yetuπŸ˜…
Wangu huwa anasema nimsindikize karume akaangalie hata sendo tunapanda zetu Hicha tunafanya mizururo baadaye anasema asante kwa kunitoa auti au ni auti gani zingine zinahitajika
Tena mi napenda sana hizo mambo inanifanya mtu mwenye gari niwe bored mi nataka tukazurule free kwenye maisha ya kawaida
 
Hebu jizoeze kujitoa auti mwenyewe kwanza, ukitaka kupata mwanaume mwema jitahidi kuwa mwema wewe
Naenda melia , arusha coffe , mount meru , arusha tulip , kibo palace , point by sheraton , zamani ilikuwa new arusha , nilikuwa nahudhuria kitamu , hizi restaurant za kizungu , nyingi tu naendaga huko . Najiunga gym niwe slim kabisa
 
Naendaga hoteli zote za arusha za 5 stars tuanze melia , kibo , point by sheraton yaani kila mahali pazuri naenda mwaya hawa wamiguu waongo
 
Wewe utakuwa unakosa vikao, ndo maana unawaza sana vitu ambavyo havipo ukipata mwanaume
Hakutoi out- jitoe
Hakupendi- jipende mwenyewe
Hakupi heshima - jiheshimu
Hakupi hela- tafuta zako
Hana gari - nunua lako

This is 2025 dear, badili mtazamo utapata wa kuendana naye.
 
Labda ni simpe K my dear tuangaliane hiyo ndio sawa itikadi yangu hii nitabakia nayo Mungu amewapa majuku mu yakutulinda ,kututunza , nakutujali
 
Yote hayo na wewe unampa nini ? Au ni kutandaza miguu tu? Ukiyataka yote hayo - wenye D mbili wanaelewa form 2 walifundishwa kwenye somo la fizikia kwamba β€œ in every action, there is equal and opposite reaction”.
Ukiyataka yote hayo - inabidi yaanzie kwako kabla ya kuyatafuta kwa mwenzako.
 
Labda ni simpe K my dear tuangaliane hiyo ndio sawa itikadi yangu hii nitabakia nayo Mungu amewapa majuku mu yakutulinda ,kututunza , nakutujali
Ilikuwa ni kina Adam ndo walijua majukumu ya wanaume kwa wake zao , hawa wa sasa hivi ni patapotea, tunaenda nao sambamba ukimpata sawa Ila don't put your happiness kwa mtu.
 
Naenda melia , arusha coffe , mount meru , arusha tulip , kibo palace , point by sheraton , zamani ilikuwa new arusha , nilikuwa nahudhuria kitamu , hizi restaurant za kizungu , nyingi tu naendaga huko . Najiunga gym niwe slim kabisa
oooh kumbe
 
wewe hizo quality unazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…