Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

When a dumb person from somewhere tries so hard to look smart online.
 
Haya mambo ya NG'OMBE na KUPE.

1. Ng'ombe hapati faida yoyote kwa kupe zaidi ya hasara na maumivu.

2. Kupe anapata faida kubwa sana kwa ng'ombe na hatumii nguvu yoyote kupata faida hiyo.

# Nafikiri huu ni mfano mwepesi bila hata 4-figure unaeleweka.
 
Mitandaoni na uhalisia ni vitu viwili tofauti. Rayvany nilikuwa naumona gym moja pale Jangwani sea breez appartments ana prado diamond nyeupe mpaka leo haijabadilishwa namba za zanzibar( hii ina maana ushuru kupatikana ni shida) kuleta namba za bongo. Hana kitu yule jamaa. Ni msanii ana kipaji lakini hela bado yote inaenda kwa diamond wanaishi kwa hisani ya diamond wote wakina baba levo hao wanapanda mpaka bodaboda.

Msanii kama mboso angetulia akajisimamia angepata fedha nyingi lakini mwisho wa siku wote inabidi wakajitegemee ili WCB ichukue vipaji vipya.
 

Sasa ulivyo muona tu ukajua hana hela,hujui kwenye acc zake ana kiasi gani,hujui hata gawio lake kiasi gani kwenye mziki.

Ila cha ajabu hushangai huyo aliye toka WCB nae kaanzisha label,vip wasanii wake nae anawanyonya?

Halafu why WCB? kings ina miaka zaidi ya mitatu,wasanii wake vip nao wana hela kuliko wa WCB,Ibra ana mwaka vipi nae ana hela kuliko Zuchu.

Manake Harmonize katoka WCB kwa madai yake alilipa mil 500 ya kuvunja mkataba,sasa hiyo mia tano aliipata wapi kama sio kwenye label.Kama hela anawapangia Diamond huyo Konde hela ya kuwalipa WCB aliitoa wapi au alilipwa na Diamond?

Hapo bado hela ya kuendesha projects zake,hela ya kuanzisha label (wasanii watano) alizipata wapi?
 
Ulitakiwa ufanye mlinganyo huu ikiwa Zuchu na Rayvanny wanajitegemea kivyao yaani wapo nje ya Wasafi, vinginevyo hujamtendea haki Konde boy
 
Mpatuka umemjibu kisomi asipoelewa atakuwa na upungufu wa akili wa mwilini
 
Ulitakiwa ufanye mlinganyo huu ikiwa Zuchu na Rayvanny wanajitegemea kivyao yaani wapo nje ya Wasafi, vinginevyo hujamtendea haki Konde boy
Hizi ni akili za kipumbavu mbona huyo harmonize alivyotoka nae kaanzisha team yake ya akina jembe ni jembe n.k hakuna msanii ambaye ni jeshi la mtu mmoja
 
Katika unyonyaji Diamond ni zaidi ya Ruge, kakae na Harmonize na Mavoko watakuambia. Hata huyo rayvanny Kuna kipindi alikuwa analalamika chinichini kuwa kamgao ni kadogo.

Na diamond hataki waondoke wakajitegemee
 
Ukikua utaacha. Fedha haijifichi hata siku moja. Ukimuona binti wa Mzee noni doreen au wa Mzee wa vijisenti madina directly unaona hela ipo. Wananukia tuu ma joe malone yaani wananukia pesa.

Ukikutana na Ndama mtoto wa ngombe japo ni mweusi lakini ngozi yake na nguo alizovaa unajua pesa ipo bado gari analoendesha.

Sasa vanny, baba levo,lavalava, darleeen,uncle shamte hao wote ukisogeleana nao tu unajua bado arosto apeche isipokuwa diamond ndio ukimuona unajua hela ipo.

Nikusaidie Harmonize pale wcb katoka kwa nguvu ya upande wa pili ule wa clouds particular Jembe hakuwa na hela ya kusimama mwenyewe bila godfther na competitor. Ile ni biashara usifikiri katoka tuu ana target lazima aachieve mwisho wa siku.
 

Nikikua nitaacha au WEWE UACHE UONGO?.

Yeye mwenyewe wakati anatoka WCB alisema aliuza nyumba mbili na kutoa milion mbili kwenye account yake na Jembe ni jembe alimsaidia million 100 ,aliya ongea haya Harmonize kwenye uzinduzi wa Epp ya Country Boy.Kwa hiyo maana yake 400 alilipa yeye,ambazo zilitokana na kazi yake ya mziki chini ya WCB.Hicho nyingine chai na story za vijiweni.


Unaonekana unajua mikataba? Haya basi Jembe ni Jembe ktk Kondegang anakula % ngapi? Au labda unajua % za WCB tu.

Yaani Clouds wamuokoe Konde huku msanii ambaye mwenye talents kubwa kuliko Konde Baranaba Boy hana mbele wala nyuma,naona tunauziana chai.

Duu yaani ukiwasogelea unajua hawana hela 🤣🤣🤣🤣🤣 unaleta story za chuma na sumaku,manake sumaku ikiisogelea chuma unajua hii chuma.

AU wewe vinyweleo vyako vinasense hela hela duuuu au pua yako ina sense hela kujua huyu ana hela au hana hongera mwanangu kwa kipaji chak hiki lakini ubaya una kiapply kwa WCB,ila kwa kings na Kondegang hukiapply kwakuwa unaamini wasanii waliokuwa chini ya Kondegang na Kings hawanyonywi.

Alafu nimekuuliza vipi Ibrah na Zuchu wale wana mwaka mmoja,ina maana Ibrah ana hela kuliko Zuchu manake kwako wewe Wasafi wanyonyaji.

Wewe unamjua Ndama,mimi kuna mzee namjua,ana maduka gesti na nyumba 7 Tabata ila anapendelea kutembea na miguu,watoto zake wawili wapo nje na huyu sikumjua hivi mara ya kwanza nilimchukila poa ila mfanyakazi wake ndie akaniambia mali zake,acha kukalili maisha,eti ukimsogelea unajua ana shillingi ngapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,kama vip mwanangu kaombe kazi TAKUKURU.
 
u
All in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
me umejishindia 90000000071567/= ktka konde gang hq
 
Ibra amefanya show gani tangu ametambulishwa? ukiacha za ccm tena hazizidi 3 na Zuchu kafanya almost zote na hit ya mwenda zake.
 
Ibra amefanya show gani tangu ametambulishwa? ukiacha za ccm tena hazizidi 3 na Zuchu kafanya almost zote na hit ya mwenda zake.
Mwaka jana show ni kama hazikuwepo ukichanganya na uchaguzi na Corona.

Hata Wasafi festival na Fiesta hazikufanyika. Hata Zuchu show alizofanya ni za kutambulisha Wasafi fm na za uchaguzi.

Ni kama tu huyo Ibraah alivyokuwa akishiriki shows za Sayona na uchaguzi.

Nambie ni show gani watu walilipa kwenda kumwona Zuchu ?

Yote hayo yalikuwa matamasha ya BURE.
 
Sasa Rayvany kaingiaje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…