Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Jamaa linapenda sana kukumbatia hii pisi
 
Zamani nilikuwa nawaheshimu sana wanawake wa kiislamu wanaovaa hijab na ninja kwa kudhani ni watu wa imani hasa!

Sijawahi kumtongoza mdada mvaa hijab ilhali wamejaa hii mitaa ninayoishi na sababu ni hiyo heshima yangu kwao.

Naufanyia mapitio huu mtazamo wangu kwa sasa nahisi umepitwa wakati.
 
Kweli dunia haina usawa! Wengine wametoa pole kwa kupiga magoti huku wakionesha unyenyekevu mkubwa! Wengine wanakumbatiwa na kupeana mikono huku wote wakiwa wamesimama!

Watanganyika wote mliopiga magoti huku bosi wenu akiwa amekaa mnatakiwa mjisikie aibu. Mbona kwa Chivayo amesimama? Mtadharauliwa mpaka lini enyi misukule wasaliti kwa nchi yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…