Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ushauri wangu tafuta hela hamna Mwanamke mwenye hasiraNaomba ushaur mkuu
🤔🤔🤔Nakutafutia wenye uwezo wa kusoma na kuelewa mawazo ya mkeo.Nalo unapinga?Weye ni pingapinga.Unakwamisha "maendereo"!Nje ya mada
Yaaan watu Jf wamefanya ndo jibu la hat vitu vya kijingaKwanini usimuulize mkeo..au umeona na sisi humu ni wake zako.?we jamaa punguza dharau.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyo mwamba ni noma.Anataka hadi afundishwe na JF namna ya kumla mkewe.Yaaan watu Jf wamefanya ndo jibu la hat vitu vya kijinga
😃😃😃Kwanini usimuulize mkeo..au umeona na sisi humu ni wake zako.?we jamaa punguza dharau.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wote mmekutana mna tabia za kike. WEWE UNA TABIA KAMA ZAKE, UNA UTOTO,MADEKO MENGI,VIJEMBE NA UANAMKE. MTAPATA SHIDA SANA. HILI HALIKUWA NA HAJA YA KUANZISHIWA UZI. UNGEMUULIZA. BUT PIA UNAPATA WAPI MUDA WA KUFIKIRIA HAYO?1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana
2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,
Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na familia yangu
Naomba Uzi ufungiwe hapa. Unaomba wajuzi wakufafanulie kwani wanamjua mkeo?Mkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!
Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
Wife huwa analiwaje jamani? Nfundishe mkuu
Toa ushaur kwanza mkuuWote mmekutana mna tabia za kike. WEWE UNA TABIA KAMA ZAKE, UNA UTOTO,MADEKO MENGI,VIJEMBE NA UANAMKE. MTAPATA SHIDA SANA. HILI HALIKUWA NA HAJA YA KUANZISHIWA UZI. UNGEMUULIZA. BUT PIA UNAPATA WAPI MUDA WA KUFIKIRIA HAYO?
Huyo dada akatafute mwanaume aishi nayeToa ushaur kwanza mkuu