Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana

2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,

Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na familia yangu
Wote mmekutana mna tabia za kike. WEWE UNA TABIA KAMA ZAKE, UNA UTOTO,MADEKO MENGI,VIJEMBE NA UANAMKE. MTAPATA SHIDA SANA. HILI HALIKUWA NA HAJA YA KUANZISHIWA UZI. UNGEMUULIZA. BUT PIA UNAPATA WAPI MUDA WA KUFIKIRIA HAYO?
 
Muulize mkeo hilo swali hapa hutapata majibu zaidi utapewa maswali zaidi.
 
Mkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!

Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
Naomba Uzi ufungiwe hapa. Unaomba wajuzi wakufafanulie kwani wanamjua mkeo?

Anyway, ma-EX wa MKE wa jamaa mnaitwa huku
 
Wote mmekutana mna tabia za kike. WEWE UNA TABIA KAMA ZAKE, UNA UTOTO,MADEKO MENGI,VIJEMBE NA UANAMKE. MTAPATA SHIDA SANA. HILI HALIKUWA NA HAJA YA KUANZISHIWA UZI. UNGEMUULIZA. BUT PIA UNAPATA WAPI MUDA WA KUFIKIRIA HAYO?
Toa ushaur kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom