Kataza mara 1 mtafutie binti wa kumuuzia anamkabidhi lita kadhaa..Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Anauzia mitaa gani mkuu, nataka nikushauri kulingana na nature ya mtaa husika ulivyo
wacha kuogopa weka mikakati ya elim ya kujitambua tuAnauzia mitaa gani mkuu, nataka nikushauri kulingana na nature ya mtaa husika ulivyo
Kwan hajanoshikeikishaAmeanza tayari sasa umruhusu vipi?
Noma.sna mkuuNdoa ngumu jamani kama huna kipato cha kutosha, hahaha
Hapo mkuu, kaa chini umuelekeze your insecurities. Mnaweza mkafikia muhafaka mzuri.Noma.sna mkuu
SafiHapo mkuu, kaa chini umuelekeze your insecurities. Mnaweza mkafikia muhafaka mzuri.
Jitihada afanye shughuli za mfano huo, kuepuka kumtengenezea mke wako mazingira ya kutongozwa kirahisiNiko mjini boss huweZi fuga ngombe huku
Tutamla kidogo ila siyo kama akiwa na majuice yake.bado tutamla tu ata akimfungia ghetto.
kuna wajinga wataagiza wapelekewe ndani shughuli itaanzia hapo.wengine wataomba namba kabisaaaMimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Angalau hata wewe uko positive.Huyo mwanamke ameanza kujitambua.Mpe hongera zake na muongezee friza la heavyduty ili juice iwe inapoa kwa haraka.Akiwa ni wa hovyo hata kama akishinda nyumbani bado atapata muda wa kifanya uzinzi tuu
Mruhusu kwani familia yako itapata umaarufu, pia mboga mlizokuwa hamnunui kama vile maini na samaki sasa zitatawala meza.Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Si dhindwi kununua mboga Bo's Nina mshara wa 1 mMruhusu kwani familia yako itapata umaarufu, pia mboga mlizokuwa hamnunui kama vile maini na samaki sasa zitatawala meza.
Wakwako anafanya shughuli gan,au ni mvulana?ushamba wa mapenzi huo
Asnte kwa ushauriSikushauri hata kidogo. Ibilisi atapita hapo hapo hawa wanawake ni mama zetu ila bwana akili zao wanazijua wenyewe. Yanini kujiingiza kwenye hatari? Kama we ni mwalimu huyo mkeo mtafutie biashara ya hapo hapo nyumbani haya mambo ya kwenda kutembeza sijui uji na juice utakuja kulia huku mtaani kuna wanaume hawakubaligi kushindwa shauri yako mchawi pesa tu.