Wife kaninunia kisa hiki

Mna umri gani ninyi?

Noma kweli

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.
Huwaga ni wajingawajinga na hawana malezi ngangari..mama yangu ujilizelize uwiiii
 
Ila wanawake wanaopenda kujiliza liza huwa siwaelewi.
Kuna mmoja hapa jana aligaragara chini, mwili mzima michanga, eti kaliaaaa hadi mashetani yamempanda, sababu ya yote hayo kashika simu ya mume wake kakuta anachat na mchepuko.
Sasa aunt wee huliagi vile uncle akizingua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani umenyoaje?

kama ni kama airport una maelezo ya kutoa.

kama hakutamaniki kupo kama kuku alienyonyolewa na maji ya baridi basi kausha tu, hapo bila shaka umejinyoa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…