Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mna umri gani ninyi?
Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia.
Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na mavuzi mengi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).
Sasa amerudi akaniona nimejinyoa,akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.
So wakuu, hii kesi naisolve vipi?