Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

Asante sana best yang. Lakini nmefikiria kidogo kuhusu hili. Tatizo kwangu ni roho ya huyo mwanamke. Mfano mimi binafsi kiuchumi niko sawa. Na wala sihitaji hela ya mwanamke. Lakini nahitaji mwanamke ambaye hana ubinafsi. Sababu tabia kama hiyo hata hela ya biashara hataithamini. Ataipukutisha tu na mwisho wa siku nitafilisika.
Kama million 2 ya mwanamke haionekani inakoenda, manake hata pakiwa na milioni 20, ataipukutisha tu. Hio ndio shida niko nayo mimi.
 
Yeye ni mwanaume. Awe Responsible kumuhudumia mke wake, ni wajibu wa mwanaume kumtunza mke wake. Full stop. Kama anaona hiyo 20 ni kubwa aache aone atakavyosaidiwa.
 
Nimefikiria kidogo kuhusu hili. Tatizo kwangu ni roho ya huyo mwanamke. Mfano mimi binafsi kiuchumi niko sawa. Na wala sihitaji hela ya mwanamke. Lakini nahitaji mwanamke ambaye hana ubinafsi. Sababu tabia kama hiyo hata hela ya biashara hataithamini. Ataipukutisha tu na mwisho wa siku nitafilisika.
Kama million 2 ya mwanamke haionekani inakoenda, manake hata pakiwa na milioni 20, ataipukutisha tu. Hio ndio shida niko nayo mimi.
 
Yeye ni mwanaume. Awe Responsible kumuhudumia mke wake, ni wajibu wa mwanaume kumtunza mke wake. Full stop. Kama anaona hiyo 20 ni kubwa aache aone atakavyosaidiwa.
Tatizo sio hilo. Tatizo ni roho ya huyo mwanamke ya ubinafsi. Kama wanawake wote wako hivyo na roho kama hizo, na ndio kweli asilimia kubwa mimi niliokutana nao wale niliowapenda, wote wanajijali tu wao, na hawajali biashara ikue, NA HAWARIDHIKI. Hata milioni 20 HAIMTOSHI!. Manake hapa ni ubachela tu milele zote
 
Kama mpango wenyewe ndio kunyonyana hivi... BORA NIENDELEE TU KUWA SINGLE.

#YNWA
 
Ila daah huyo mwana anaonekana hata kuvaa havai vizuri,hapo 80elfu ya mama kusuka inabaki 420,hapo hajanunua unga ,mchele na vikolokolo vya kutumia kwa mwezi mzima.Bado kuna luku ,bili za maji na kama kuna mtoto anasoma bado hujampa hela ya nauli na ada,yeye mwenyewe nauli ya kuelekea kazini bado hajala ,hajanunua vocha.

Daaah mwamba anapitia maisha magumu,kweli wanaume tumeumbiwa mateso,yaani unaweza ukakuta ana miaka mitatu hajanunua nguo mpya,bado haja pokea simu " baba anaomba hela ya kulimia......mdogo wako hana ada.......",bora sometimes uoe mama wa nyumbani ujue tu hana kitu,kwani ni rahisi kumcontrol hata ukimpa buku anaenda zake kusuka nywele za Kilimanjaro anarizika maisha yana endelea.
 
Mateso lakini tunajitakia wenyewe kujihusisha na wadada wa namna fulani.
 

Sasa why mnalilia 50/50?
 
Hapo dawa ni ndogo, ikifika mwisho wa mwezi kusanga mshahara wako wote, kamkabidhi yeye mshirikishe na majukumu yote uliyonayo kwa mwezi ai-budget hiyo hela.
 
Ukiona hivyo anetoka kijijin na kwenye familia yao ni duni kwaiyo lazma ajenge kwao na kusomesha wadogo zake nk
 
Kwani kabla ya kumuoa uku mchunguza yeye na familia anayo toka wana uchumi gani Mimi nimesha hapa sioi mwanamke kwao wana matatzo ya kiuchimi sanaaa maana mtachelewa kujenga maisha siyo mwanamke ana marengo yake na mwanaume una marengo yake na mmefunga ndoa mnaish pamoja
 
Na pia ni kwa nini asimhusishe mume wake katika hayo matumizi ya huko kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…