Mchezo umegeuka! Wanawake hawana kampeni ya kudai tena Haki sawa sababu elimu, afya, chakula nk ni sawa kwa wote. Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki sawa kwenye majukumu ya kutunzwa na kutunza familia kwa ujumlamkeo kakuomba elf 20 unamfungulia uzi.....ni haki yake mpe....c ni mkeo....wanaume ndio tunapaswa kuwapenda wake zetu......ukimpenda 20 sio kitu.....acha ujinga....na usiwe na tabia ya kulinganisha vipato na mkeo.........jifunge kuhudhuria vikao vya wanaume sehemu maalum ujifunze.....
Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki...............---- hao sio wanaume hao bibie ni "WAVULANA fulani"Mchezo umegeuka! Wanawake hawana kampeni ya kudai tena Haki sawa sababu elimu, afya, chakula nk ni sawa kwa wote. Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki sawa kwenye majukumu ya kutunzwa na kutunza familia kwa ujumla
Vitaumbwa vipya 🤗🤗🤗🤗🤗
Kaka, mpe tu hio 20K hata kwa kukopa. Mademu wanasikia raha sana kupewa mshiko na wanaume, hata kama wanakuzidi kipato. Provided ni mkeo, pls mpe. Akipewa na jamaa mwingine usije hapa na thread mpya, tutakulipua sana tu. 🔥🔥🔥Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri.
Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi Jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.
Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa, nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba hela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Wajibu wako
🤣Mwanamke kama anakuzidi mapato, lazima uwe na akili ya kumtoa pesa halafu anakuomba unampatia ili kujenga heshima ndani. Ukizubaa anakudharau hata K inakupa kwa manati
Hawa viumbe anawajua aliyeviumba, hawana huruma wala shukrani hata uwape roho yako, hakikisha unakua na mipango yako mwenyewe na ushikie hapahapo la sivyo utakua masikini na mwishi wa siku unaweza pata shida kwa sababu ya msongo wa mawazo, hakikisha anabeba matumizi yake mwenyewe, na wewe chukua matumizi ya muhimu tu, na budget lazima upange mwenyewe kutokana na kipato chako. kwani huwa wanatumia vitu rafu ili kukomoa, au wanazaa watoto wengi ili kukomoa pia.Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri.
Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi Jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.
Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa, nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba hela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Ni bahati sana kupata mke mwenye kujua hilo 99.9% wanajua kupokea hata kama wana kipato, na wakifanya kidogo wanaanza zarau.Inaonekana hamsaidiani kabisa katika kuyajenga maisha yenu na kwa watoto pia
Pole sana
Maisha ya familia ni magumu ila inabidi ujifunze mengi
Ni raha sana, yaan hela ya mume ni tamu mnooooo hata uwe na nyingi kiasi ganiWanasikiaga raha kutumia hela zetu.
ni msaidizi wako, siku ukikwama atakusaidia. hata kama watashirikiana like atanunua vitu kama pazia, vyombo na mambo mengine mengi. lakin kumpa hiyo 20k anasikia raha sanaaaaa.Wanawake hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini?
Wanawake hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini?
Mimi nataka leo wanawake niwaulize hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini? Maana kila kitu unamwambia mmeo/mpenzi wako akufanyie unakuta una kazi nzuri tu, pesa huwa mnafanyia nini? Kama pesa hazijulikani wapi zinakwenda si bora ukaye nyumbani tu ulee watoto?www.jamiiforums.com
Kulilia 50/50 Haina uhusiano na mwanaume kutimiza wajibu wake kwa mkewe.Ndo muache kulilia 50/50.
Kulilia 50/50 Haina uhusiano na mwanaume kutimiza wajibu wake kwa mkewe.