Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

Wife kanizidi kipato lakini kila wiki lazima aniombe elfu 20 ya kusukia

mkeo kakuomba elf 20 unamfungulia uzi.....ni haki yake mpe....c ni mkeo....wanaume ndio tunapaswa kuwapenda wake zetu......ukimpenda 20 sio kitu.....acha ujinga....na usiwe na tabia ya kulinganisha vipato na mkeo.........jifunge kuhudhuria vikao vya wanaume sehemu maalum ujifunze.....
 
mkuu umefanya vema kumnyima hiyo 20k. Kununa kwake kusikusumbue wewe endelea na maisha kama vile hajanuna. Muache apime mwenyewe ananuna kwa muda gani.
 
mkeo kakuomba elf 20 unamfungulia uzi.....ni haki yake mpe....c ni mkeo....wanaume ndio tunapaswa kuwapenda wake zetu......ukimpenda 20 sio kitu.....acha ujinga....na usiwe na tabia ya kulinganisha vipato na mkeo.........jifunge kuhudhuria vikao vya wanaume sehemu maalum ujifunze.....
Mchezo umegeuka! Wanawake hawana kampeni ya kudai tena Haki sawa sababu elimu, afya, chakula nk ni sawa kwa wote. Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki sawa kwenye majukumu ya kutunzwa na kutunza familia kwa ujumla

Vitaumbwa vipya 🤗🤗🤗🤗🤗
 
Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki...............---- hao sio wanaume hao bibie ni "WAVULANA fulani"
 
Habari wakuu.

Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.

Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri.

Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi Jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.

Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa, nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba hela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Kaka, mpe tu hio 20K hata kwa kukopa. Mademu wanasikia raha sana kupewa mshiko na wanaume, hata kama wanakuzidi kipato. Provided ni mkeo, pls mpe. Akipewa na jamaa mwingine usije hapa na thread mpya, tutakulipua sana tu. 🔥🔥🔥
 
Ila sasa wanaume wengi ndio wanadai haki...............---- hao sio wanaume hao bibie ni "WAVULANA funali"
😂😂😂 asante kwa kunisahihisha nosspass nimesema hivyo sababu kuna wavulana wenye hadi umri hadi miaka40 kwenye hilo kundi
 
Mwanamke kama anakuzidi mapato, lazima uwe na akili ya kumtoa pesa halafu anakuomba unampatia ili kujenga heshima ndani. Ukizubaa anakudharau hata K inakupa kwa manati
🤣
 
Habari wakuu.

Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.

Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri.

Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi Jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.

Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa, nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba hela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Hawa viumbe anawajua aliyeviumba, hawana huruma wala shukrani hata uwape roho yako, hakikisha unakua na mipango yako mwenyewe na ushikie hapahapo la sivyo utakua masikini na mwishi wa siku unaweza pata shida kwa sababu ya msongo wa mawazo, hakikisha anabeba matumizi yake mwenyewe, na wewe chukua matumizi ya muhimu tu, na budget lazima upange mwenyewe kutokana na kipato chako. kwani huwa wanatumia vitu rafu ili kukomoa, au wanazaa watoto wengi ili kukomoa pia.
 
Inaonekana hamsaidiani kabisa katika kuyajenga maisha yenu na kwa watoto pia
Pole sana
Maisha ya familia ni magumu ila inabidi ujifunze mengi
Ni bahati sana kupata mke mwenye kujua hilo 99.9% wanajua kupokea hata kama wana kipato, na wakifanya kidogo wanaanza zarau.
 
Huyo hafai kuitwa mke ni mbinafsi na ni mnyonyaji pia.Hakupendi na wala hana future na wewe ni suala la muda tuu atakupa maumivu ya moyo yatakaoutesa moyo wako at severally.Maisha ni kusaidiana katika kupanga maisha yenu huku vipato vyenu mkivigawa katika vipaumbele vyenu katika utekelezaji wake,sasa nikuulize kitu...wapi pesa zake zinakoishia?na je nini faida ya yeye kufanya kazi?Nb; niliwahi kuoa mmeru kutoka Arusha alikuwa na tabia kama hiyoo ndoa yetu ilidumu miezi minne ikawa imevunjika.
 
Wanawake hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini?
ni msaidizi wako, siku ukikwama atakusaidia. hata kama watashirikiana like atanunua vitu kama pazia, vyombo na mambo mengine mengi. lakin kumpa hiyo 20k anasikia raha sanaaaaa.
 
Cha kwake ni chake na familia yke, cha kwako ni chenu.

kwa tafiti zaharaka baadh ya wanawake pesa yao wanagharamia kwao, unaweza kuta anasomesha wadogo zake n.k bla ww kujua, so uenda ndio ana mshahara mkubwa lkn akawa hana hela mana ana majukumu ya kusomesha wadogo zake na kulea familia yake na unakuta ww huwez kusomesha shemej zako.

Shout out kwa dada zangu pamoja na kuwa wameolewa. bla wao ata elimu ya chuo kikuu nngeisikia kwny bomba, nmesoma kutokana na mishahara ya dada zangu.

Wanawake smart mshahara wao una majukumu mengi sio kla mwanamke anawaza pochi, mavaz, kula bata mfn hai dada zangu aise najivunia sn wao sasa hv nalipa fadhila kuwasomeshea watt wao
 
Back
Top Bottom