Mwanaume mpk unapigwa mbata na mkeo utakua na shida kubwa ๐น๐น๐น
Mimi nilimzabua kofi bwanaangu nikataka kukimbia akanidaka nilihisi leo nafwaa ๐คฃ!
Alininyanyua juu juu akanitupa kwa bed wallahi nilikoma..!! Nilisuguliwa hadi Ancestors wa kwetu walikubali show ๐น๐น
Hiyo performance yake siku hiyo yeye mwenyewe hakuwahi kuivunja mpaka leo ๐ป๐ป