Halafu umetoka na watoto utachepuka saa ngapi taabu yote ya niniHahahaa... mkuu umenifurahisha sana..π
Huyu jamaa haelewi kua wachepukaji wengi makini hua hawachepuki zile siku ambazo wewe utadhani wanachepuka. Mfano siku za sikukuu, weekend nk ni siku mbaya kuchepuka kwanza hukawii kukutana na watu wa ajabu ajabu, kupigiwa sim za kushtukiza n.k. Watu wanachepuka siku na muda ambao huwezi kamwe kudhani kwamba saa izo ndio mtu anachepuka ππ
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
wewe sema ulitakata tu kutueleza kuwa uko nje ya nchiNiko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Eti..! Jamaa linajipa presha bure tu. Mke kama ni kuliwa kweli lazima ataliwa, maana huez kusema eti atavumilia siku zote mpaka jamaa lirudi, lakini ataliwa mda na wakati ambao anajua kabisa lijamaa halitajua wala halitahisi kitu.Halafu umetoka na watoto utachepuka saa ngapi taabu yote ya nini
Hayo ndo manyoya ambayo wahenga wanasema unapoyaona hayo ujue keshaliwa.Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Sasa hizo pound 1000 ulituma za nini
Hapo alipo ameshindia ugali na dagaa na yuko Keko Magurumbasi, paundi 1000 atazitoa wapi sembuse kwenda Ireland!Sasa hizo pound 1000 ulituma za nini
π kwahiyo hii ni chaiHapo alipo ameshindia ugali na dagaa na yuko Keko Magurumbasi, paundi 1000 atazitoa wapi sembuse kwenda Ireland!
Tena chai isiyo na vitafunwa hii.π kwahiyo hii ni chai
Akimleta Ireland wataachania huko huko.Mjomba fimbo ya mbali haiui nyoka na mwanamke hachungwi.
Shukuru hata watoto wameenda beach.
Kama kunasela anakusaidia, shukuru tu bado wife anajali watoto.
Kama hutaki hizi stress mlete airelandi pia.
Unadhan kuna manzi hataki kwenda uzunguni pia?
Pound 1000 mbona ndogo Sana mkuu kibongo bongoNiko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Bila kusahau U. T. IKumchunga ukiwa mbali ni ngumu, kikubwa ukirudi hakikisha unampima vipimo vyote kabla hujaanza tena kumla. By vipimo vyote namaanisha ngoma, mimba, homa ya ini, marinda etc
Nilivyoona tu Β£ 1000 nimeacha kusoma. Acha utoto inaonekana hata maana ya mkeNiko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Pounds Ireland?Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je, wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?