Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Njoo upumzike mahali pema peponi hautojutia
 
Chuo mnafunga sio!? Sasa si uende kwenu Tukuyu huko Dar hapafai
 
Asanteee
 
Jamani wa Dar hamna
ukipata unijulishe na mimi nipo njiani napeleka mang'ombe yangu kuuza huko daisalama. Niko njiani hivi sasa na lori.


{Kale kampango ndio kimya bebeshi}
 
Kwa budget yako nakushauri ufikie sinza au kijitonyama, au mwenge hotel zipo nzuri na bei rahisi 40k - 100k, uanaweza kufikia star city hotel, double view, mesuma, king D, ila nakushauri fikia Azania hotel ipo sinza kwa remy unaweza kuigugo ukafanya reservation...sababu ya kukushauri maeneo hayo ni kuwa itakuwa rahisi kwako kwenda sehemu nyingi za kuvutia kama vile malls, sehemu za starehe n.k unakuwa upo katikati ya popote utakapohitaji kwenda ningekushauri mbezi beach ila hoteli zao bei mkasi kidogo
 
Karibu buliyaga wailes matako bar kisuma huku kumechangamka sana uta enjoy vacation yako karibu temeke
 
Unataka kuja Dar wakati wewe mwenyewe unaishi Dar? Au unatafuta chimbo la kwenda kuchepukia?
Daraja la kigamboni. Kapumzike hapo hutajuta
Fika Buguruni uliza bar inaitwa Kimboka. Kapate pale Grand Malta baridi
Ni kweli ulimaanisha kuulizia au unatujulisha tu kwamba unakuja Dar!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jirani yangu habari yako
 
Tafuta hoteli ya ufukweni uone tofauti ya ziwa na bahari! Karibu sana Dar mwana kwetu!
 
Ushauri wako nimeupenda,asnt nitaufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…