Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wa Dar hamna
AsanteeeKaribu kichenza hotel, kichenza hotel ni hotel nzuri inayomjali mteja, inapokea wateja wa aina zote wanawake kwa wanaume, iwe single ama couple.. Kichenza hotel ipo karibu na fukwe mazingira safi yanayovutia utapulizwa na upepo mwanana yote haya yatakufanya ufurahie mapumziko yako, Pia tuna vyakula mbalimbali kutoka baharini na nchi kavu utapata kambakoch huku rosti la pweza likikusubiri, ngisi, uduvi, kaa, sangara, n.k, pia tuna nyama kama vile nyama ya bata,mbuzi,kuku,ng'ombe,bata mzinga n.k... Kichenza hotel hatukuachi hivi hivi tutakuburudisha na vinywaji laini vitakavyokufanya uhisi maisha yako ni yenye furaha siku zote, tuna vinywaji kama vile juice,red wine,wisk,cooled water,drispon, lygo na vinginee viiiingi vya kukupendeza... Karibu kichenza hotel gharama zetu ni nafuu sana...
Ushaninyanganya tonge mdononiNjoo gheto langu lina hadhi ya hoteli ya kimataifa
Swimming pool na vinginevyo
Pia vitanda imara
ukipata unijulishe na mimi nipo njiani napeleka mang'ombe yangu kuuza huko daisalama. Niko njiani hivi sasa na lori.Jamani wa Dar hamna
Hataweza KweliBajeti yake laki 5
Siku za kukaa Dar ni 3
Hadi hapo Golden Tulip hawezi kaa bajeti yake finyu...
Kwanini? Si panakuwa na Guest house pia na chakula? Kwani ukienda bar lazima unywe?Bar staki
Unataka kuja Dar wakati wewe mwenyewe unaishi Dar? Au unatafuta chimbo la kwenda kuchepukia?
Daraja la kigamboni. Kapumzike hapo hutajuta
Fika Buguruni uliza bar inaitwa Kimboka. Kapate pale Grand Malta baridi
Ni kweli ulimaanisha kuulizia au unatujulisha tu kwamba unakuja Dar!
Jirani yangu habari yakoKwa budget yako nakushauri ufikie sinza au kijitonyama, au mwenge hotel zipo nzuri na bei rahisi 40k - 100k, uanaweza kufikia star city hotel, double view, mesuma, king D, ila nakushauri fikia Azania hotel ipo sinza kwa remy unaweza kuigugo ukafanya reservation...sababu ya kukushauri maeneo hayo ni kuwa itakuwa rahisi kwako kwenda sehemu nyingi za kuvutia kama vile malls, sehemu za starehe n.k unakuwa upo katikati ya popote utakapohitaji kwenda ningekushauri mbezi beach ila hoteli zao bei mkasi kidogo
Ushauri wako nimeupenda,asnt nitaufanyia kaziKwa budget yako nakushauri ufikie sinza au kijitonyama, au mwenge hotel zipo nzuri na bei rahisi 40k - 100k, uanaweza kufikia star city hotel, double view, mesuma, king D, ila nakushauri fikia Azania hotel ipo sinza kwa remy unaweza kuigugo ukafanya reservation...sababu ya kukushauri maeneo hayo ni kuwa itakuwa rahisi kwako kwenda sehemu nyingi za kuvutia kama vile malls, sehemu za starehe n.k unakuwa upo katikati ya popote utakapohitaji kwenda ningekushauri mbezi beach ila hoteli zao bei mkasi kidogo