Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni
SAUT
 
Nenda Juliana Hotel Africana
Hivi pale Juliana Kuna hotel mkuu.? Au ni bar tu...
Ila kwa budget yake ya laki 5 nami nakuunga mkono. Aje Africana hapa kuna kalodge kazuri tu hapo karibu na mataa anakaa zake pale. Pako cool afu karibu na locations nyingi kama beaches na hotels!
 
Nyie ndo wale mnaotafuta ID za raia huku JF?
Pumbavu sana,
Mapumziko yako sisi yanatuhusu nini?
 
Ukifika ubungo au airport ita Uber nenda sea cliff court au hotel. Google uchague ipi. Karibu masaki.
 
Unaendaje kupumzika Dar...Dar ni mahali pa pilika
 
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni

Condom Dar zimeisha. Uje nazo.
 
Karibu kichenza hotel, kichenza hotel ni hotel nzuri inayomjali mteja, inapokea wateja wa aina zote wanawake kwa wanaume, iwe single ama couple.. Kichenza hotel ipo karibu na fukwe mazingira safi yanayovutia utapulizwa na upepo mwanana yote haya yatakufanya ufurahie mapumziko yako, Pia tuna vyakula mbalimbali kutoka baharini na nchi kavu utapata kambakoch huku rosti la pweza likikusubiri, ngisi, uduvi, kaa, sangara, n.k, pia tuna nyama kama vile nyama ya bata,mbuzi,kuku,ng'ombe,bata mzinga n.k... Kichenza hotel hatukuachi hivi hivi tutakuburudisha na vinywaji laini vitakavyokufanya uhisi maisha yako ni yenye furaha siku zote, tuna vinywaji kama vile juice,red wine,wisk,cooled water,drispon, lygo na vinginee viiiingi vya kukupendeza... Karibu kichenza hotel gharama zetu ni nafuu sana...
 
Kama uko tayari kuvuka maji nikupeleke Zenji fresh, ukapate marashi ya karafuu [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nenda lodge moja inaitwa Lorenzo Lodge hutojuta..Ipo mabibo
 
Back
Top Bottom