Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Lowassa ni pekee ccm imempteza mwenye kupendwa na watu. Wengine wote haina impact. Ndiyo maana wanahaha.
 
Waaache kutuumiza akili wajenge sera na hoja waachane na kujenga uhamisho
 
Itakuwa dafrau la kufungia mwaka
 
Kwamba aliwahi kuwa na nyadhifa kubwa Tanzania serikalini au kwenye chama is immaterial,jambo la msingi hapa ni kwamba yeye ni Mtanzania kama Watanzania wengine kwa hiyo
ana haki kabisa ya kuwa na mawazo yake binafsi.Jambo la msingi hata hivyo ni kwamba Watanzania tulio wengi tunakubaliana na mengi Rais anayofanya,yeye is just a drop in the ocean.Tunamtakia kila la heri.

Hekima hata hivyo inaniambia kwamba kuliko ku-cross over to the opposition ambako kwenyewe kuko in disarray, ni vema angebaki chamani aka-fight for change from within, kama anaona kuna serious problems.He will certainly regret his actions,ni vema akajitafakari.
 
"TUNAKUPA MADARAKA TUNAKUPA MSHAHARA,TUNAKUPA MARUPURUPU,KWELI UTAWEZAJE KUTANGAZA MPINZANI AMESHINDA"
 
......
.....ndo vile hakuna namna chombo kimekwenda halijojo Mkulu kaamuwa Kujitosa
 
Hivi ccm kuna alie baki mwenye cheo kikubwa kama lowasa na sumaye nje na hapo ni mwenyekiti wa ccm taifa ambao ni maraisi wasitafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…