Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Endelea Kuota
 
Na yeye atanunuliwa? Au? Maana tunasikia akihama toka upande ule kwenda huu WANANUNULIWA!
 
Watu wanajali matumbo yao tu hasa huko ccm mtu yupo radhi kuliongepea Taifa ili kulinda ugali na Ac za maofisini
 
Naye kanunuliwa?

Halafu isije kuwa ni propaganda zenu tu nyie CHADEMA na CCM maana pia kuna sehemu nimeona mtu anadai kuna watu wakubwa watahama CHADEMA kurudi CCM.

Lema naye alipandisha watu presha akidai kati ya Jumatano na Ijumaa ya wiki hii kuna mvulana atahama CHADEMA na kwenda CCM lakini haikutokea.

Same ‘ol bullshit.
Bei haikuwa nzur waliyofika ukizingatia jamaa ana mikopo alipomuambia mnunuz anataka makusanyo ya mwez akaufyata.
 
Acha ushamba ww siasa haipo hivyo unavyodhani ww eti kisa msamaha!
Duh hawa ndiyo aina ya prospective leaders in tz
 
Back
Top Bottom