Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Sielewei kwa nini benki huwa wanachukua biometrics zetu (fingerprints) kama hatuwezi kuzitumia kwenye ATM.Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.
Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.
Nmb mnafeli wapi?
Baadhi ya ATMs (za kisasa) unaweza kutumia fingerprints but along with card.Sielewei kwa nini benki huwa wanachukua biometrics zetu (fingerprints) kama hatuwezi kuzitumia kwenye ATM.
Unaweza kutumia simu bila kuhitaji card.Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.
Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.
Nmb mnafeli wapi?
Why along with card??Baadhi ya ATMs (za kisasa) unaweza kutumia fingerprints but along with card.
How wakati app na ussd wameblock!?Unaweza kutumia simu bila kuhitaji card.
Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.Why along with card??
Ni Bora nitumie card tu badala ya vyote viwili, kuruhusu kutumia fingerprints tu ni kuondokana na usumbufu kadi imepotea au umeisahau mahali, sasa kama inahitajika kadi na fingerprints hakuna maana yoyote Ile.
Wewe unaongelea kipindi hiki cha crisis ya siku mbili tatu wakati mleta mada anaongelea katika hali ya kawaida.How wakati app na ussd wameblock!?
Pesa tunayotoa ATM ni ndogo sana kuhitaji mlolongo wote huu wa kupoteza muda tu, na pia ATMs zina CCTV camera.Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo inakuta unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.
WHAT YOU HAVE: card, phone, or some other recognized physical thing
WHAT YOU KNOW: usually password, code, OTP, etc.
WHAT YOU ARE: your body's unique features like fingerprints, etc.
So, WHAT YOU HAVE is a must then combine with any of the other two. Haya mambo yamefanyiwa tafiti wakaja na the best viable solution wakati sisi tunaongea kihisia zaidi - "ingekuwa" aka wishes!
Hali ya kawaida kivipi? Yaani wateja kukosa huduma kwa zaidi ya wiki ni hali ya kawaida?Wewe unaongelea kipindi hiki cha crisis ya siku mbili tatu wakati mleta mada anaongelea katika hali ya kawaida.
Una akili timamu?Unaweza kutumia simu bila kuhitaji card.
Ufafanuzi kidogo ndio mrefu ila in real application ni sekunde chache tu kuchomeka kadi kuingiza password na kuvuta mpunga - a fraction of a minute. Similarly kwa simu kama huna card. Kwa mtazamo wako ni angalau kiasi gani ambacho kingestahili huo mlolongo?Pesa tunayotoa ATM ni ndogo sana kuhitaji mlolongo wote huu wa kupoteza muda tu, na pia ATMs zina CCTV camera.
Umeeleweka mfanyakazi wa benki.Security measures za banks ni 2-factor authentication ambayo unatakiwa kutimiza vigezo viwili; WHAT YOU HAVE and either WHAT YOU KNOW or WHAT YOU ARE.
WHAT YOU HAVE: card, phone, or some other recognized physical thing
WHAT YOU KNOW: usually password, code, OTP, etc.
WHAT YOU ARE: your body's unique features like fingerprints, etc.
So, WHAT YOU HAVE is a must then combine with any of the other two. Haya mambo yamefanyiwa tafiti wakaja na the best viable solution wakati sisi tunaongea kihisia zaidi - "ingekuwa" aka wishes!
Rudia kusoma anachosema mleta mada "Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako". Nimejibu kwa muktadha huo.Hali ya kawaida kivipi? Yaani wateja kukosa huduma kwa zaidi ya wiki ni hali ya kawaida?
Ninazo ndio. Una lingine?Una akili timamu?
Hapo sasaSielewei kwa nini benki huwa wanachukua biometrics zetu (fingerprints) kama hatuwezi kuzitumia kwenye ATM.
Hiyo SMS binafsi sijaipataLakini jamani NMB , walitutumia ujumbe wa tahadhari sms mara mbili juu ya matengenezo ya system,
Nadhani kesho itakuwa tayari
Mimi nilipata SMS Thursday and FridayHiyo SMS binafsi sijaipata