Wabongo mnapenda kulalamika aisee πNmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.
Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.
Nmb mnafeli wapi?
Ni zamu yenu, sisi crdb mpaka sasa bado mawenge mawenge yapo kiasiKwa kweli NMB kwa kipindi hiki ni shida sana wameturudisha stone age khaaahhh
NMB ni mapimbi sana na wana huduma za kipimbi pia. Kama app tu inawashinda kurekebisha, wataweza nini? Sijawhi kuona benki ya kipumbavu kama hii hapa Ulimwenguni.Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.
Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.
Nmb mnafeli wapi?
We pimbi? Siku tatu unashindwa kurekebisba app? Mtu ukiwa mbali na unashida?Wabongo mnapenda kulalamika aisee π
Kitu walishaisema siku tatu kabla ila bado mnalalamika tuu π
Na hamna la kuwafanya mana walishatoa taarifa na wala hamtoombwa radhi, endeleeni kulalamika tuu πWe pimbi? Siku tatu unashindwa kurekebisba app? Mtu ukiwa mbali na unashida?
Mbona nimeshahamaNa hamna la kuwafanya mana walishatoa taarifa na wala hamtoombwa radhi, endeleeni kulalamika tuu π
Lalamikeni Ila hamuhami
Ulivyohama nmb wamepata hasara?Mbona nimeshahama
Ila hawa NMB ni wapumbavu sana. Wanaokota ATM zilizotupwa jalalani huko Ulaya wanakuja kutuwekea hapa TZ. Kinachosababisha watu tusipende kutumia kadi ni tatizo la ATM kumeza kadi. Wewe fikiria card yako imezwe Ijumaa usiku na pesa zako zote zipo bank si utakufa njaa wikendi nzima mkuu?Wanafanya marekebisho kwenye Core Banking System kutoka ya zamani yenye utendaji hafifu kuja kwenye system mpya. Ina chukua muda kwani uhamishaji wa data na reconciliation ya mfumo wa zamani lazima viendane. Taarifa walishatoaβ¦β¦Kesho mambo yatakuwa vizuri. Ila kama unataka kutoa hela nenda ATM ama kwa wakala coz huduma zinapatikana!
NMB ni bank kubwa nchini. Ni bank ambayo hata serikali macho yake yapo hapo so haiwezi kufanya uhuni ama kuteterekaUlivyohama nmb wamepata hasara?
πππ CRDB wamezidi aiseeIla hawa NMB ni wapumbavu sana. Wanaokota ATM zilizotupwa jalalani huko Ulaya wanakuja kutuwekea hapa TZ. Kinachosababisha watu tusipende kutumia kadi ni tatizo la ATM kumeza kadi. Wewe fikiria card yako imezwe Ijumaa usiku na pesa zako zote zipo bank si utakufa njaa wikendi nzima mkuu?
Sikuhizi kwenda bank ni ushamba otherwise una mpunga mrefu. Hela ndogondogo up to 10m tumia wakala tu.Nmb kuna siku nimeenda saa nne nimetoka saa nane huduma ni hovyo kabisa ety system mpaka uitwe namba na wahudumu wapo kidogo
Nmb ni kuanzia jana, na walitoa tangazo labda ww hukuonaNmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao.
Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako.
Nmb mnafeli wapi?
ππππ nimecheka mnoUlivyohama nmb wamepata hasara?