Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Moshi mbri mbriiii mbiriii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiNakataa moshi , kilimanjaro ni maarufu zaidi kuliko hata tanzania nje za nchi.
Ndio ni chai.Chai
Karatu ni Arusha acha ubishi mererani Iko manyaraKaratu ipo mkoa wa Manyara mzee, mikoa imeshagawanywa hiyo.
Haya nikuulize, Mererani ipo mkoa gani?
SawaKaratu ni Arusha acha ubishi mererani Iko manyara
Mavi-jana ya siku hizi hayajui Jografia! Sasa kwa ajili yako kuna mji unaitwa Ruvuma? Kuna mji unaitwa Kilimanjaro? Kuna mji unaitwa Pwani? Sasa Moshi ulitaka izidiwe na Kilimanjaro ipi?Songea
Moshi
Sumbawanga
Kahama
Kibaha
We jamaa mbona unawachota watu ni haujui au unafanya makusudiTayari Mbeya ilishagawanywa tangu kitambo mkuu
Rungwe ni wilaya sio mkoaSina uhakika. Mbona hiyo Rungwe bado haitambuliki kama mkoa?
Nachofahamu ni kuwa sasa hivi kuna halmashauri mbili ndani ya wilaya hiyo lakini hakuna kipaya kingine.
Unaweza kuweka reference ya hili Mkuu?
Kimewaka 😂We jamaa mbona unawachota watu ni haujui au unafanya makusudi
Chai ya baridi Sana Karatu sio sehemu ya Manyara ,Karatu ni ArushaManyara ndo mkoa wake
Mererani Ni sehemu ya Simanjiro ambayo Ni moja ya wilaya ya ManyaraKaratu ni Arusha acha ubishi mererani Iko manyara
Pia inaongoza Kwa Barabara mbovuKahama baba.. Kahama ni wilaya namba Moja Tanzania.. Mapato yake na mzunguko wa pesa yanashindana na wilaya ya kinondoni.. Kahama ndio wilaya ya kwanza kuwa na usafiri wa moja kwa Moja toka Dar.. Kahama haina mpinzani.. Mpaka Leo..
Pia inaongoza Kwa Barabara mbovu
Serikali haiwekezi inavyohitajika kwa wingi wa watu, mzunguko wa pesa pale kahama inatakiwa kuwe na barabara za mitaa lakini hata stendi ya maana tu mpk leo hamna ndo maana inatakiwa ipewe hadhi ya mkoa, kwa barabara za mitaa kahama inazidiwa na nzega wakati ni nusu au robo ya kahamaNitajie wilaya ambayo haina barabara mbovu hapa nchini kwetu..
Kahama haitendewi haki.. Lakini ilistahili kuwa zaidi ya hapo.. Dhahabu iliyochimbwa hapo ni ya thamani kubwa sana kulinganisha na maendeleo yaliyopo wilayani Kahama..Serikali haiwekezi inavyohitajika kwa wingi wa watu, mzunguko wa pesa pale kahama inatakiwa kuwe na barabara za mitaa lakini hata stendi ya maana tu mpk leo hamna ndo maana inatakiwa ipewe hadhi ya mkoa, kwa barabara za mitaa kahama inazidiwa na nzega wakati ni nusu au robo ya kahama
Hicho ndo anamaanisha aliyesema inaongoza kwa barabara mbovu, serikali imeitelekeza kahama na katoro kuna mijumba ya maana ila ndo ipo kwenye matope na vumbi, mashimo na madampo miji haijapangwa imejengwa kiholela inafanya hata thamani ishukeKahama haitendewi haki.. Lakini ilistahili kuwa zaidi ya hapo.. Dhahabu iliyochimbwa hapo ni ya thamani kubwa sana kulinganisha na maendeleo yaliyopo wilayani Kahama..