Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Screenshot_20240623-202913.png
 
Songea
Moshi
Sumbawanga
Kahama
Kibaha
Mavi-jana ya siku hizi hayajui Jografia! Sasa kwa ajili yako kuna mji unaitwa Ruvuma? Kuna mji unaitwa Kilimanjaro? Kuna mji unaitwa Pwani? Sasa Moshi ulitaka izidiwe na Kilimanjaro ipi?
 
Nilikuwa Kahama juzi tu eeh bana nilijiulza huu ni mkoa au wilaya!? Kahama imezichafua vby sana wilaya zingne yn hadi baadhi ya mikoa.
 
Kahama baba.. Kahama ni wilaya namba Moja Tanzania.. Mapato yake na mzunguko wa pesa yanashindana na wilaya ya kinondoni.. Kahama ndio wilaya ya kwanza kuwa na usafiri wa moja kwa Moja toka Dar.. Kahama haina mpinzani.. Mpaka Leo..
Pia inaongoza Kwa Barabara mbovu
 
Nitajie wilaya ambayo haina barabara mbovu hapa nchini kwetu..
Serikali haiwekezi inavyohitajika kwa wingi wa watu, mzunguko wa pesa pale kahama inatakiwa kuwe na barabara za mitaa lakini hata stendi ya maana tu mpk leo hamna ndo maana inatakiwa ipewe hadhi ya mkoa, kwa barabara za mitaa kahama inazidiwa na nzega wakati ni nusu au robo ya kahama
 
Kahama haitendewi haki.. Lakini ilistahili kuwa zaidi ya hapo.. Dhahabu iliyochimbwa hapo ni ya thamani kubwa sana kulinganisha na maendeleo yaliyopo wilayani Kahama..
 
Kahama haitendewi haki.. Lakini ilistahili kuwa zaidi ya hapo.. Dhahabu iliyochimbwa hapo ni ya thamani kubwa sana kulinganisha na maendeleo yaliyopo wilayani Kahama..
Hicho ndo anamaanisha aliyesema inaongoza kwa barabara mbovu, serikali imeitelekeza kahama na katoro kuna mijumba ya maana ila ndo ipo kwenye matope na vumbi, mashimo na madampo miji haijapangwa imejengwa kiholela inafanya hata thamani ishuke
 
Back
Top Bottom