Wilaya yenye guest house nyingi

Wilaya yenye guest house nyingi

Mimi mbona Zanzibar sijaona guest house au zipo lakini serekali hairuhusu
 
Muingiliano wa kibiashara? Kwa hiyo wanaingiliana kibiashara gesti?

Means wafanyabiashara toka sehemu mbali mbali wanakuja maeneo hayo for business so wanahitaji malazi ya siku kadhaa
 
Mimi mbona zanzibar sijaona guest house au zipo lakini serekali hairuhusu

Kuna kipindi nilikuwa na project ya kama wiki huko ikabidi niulize mtu aliyetutangulia akaniambia huko rum bei ya chini ni elfu 40. Ikabidi nitafute mwenyeji ndo nikawa nakaa Bububu
 
KYELA nayo ni nomaaaa gesti kibao yaani mjini tu zinafika 100
 
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Mississippi, Ontario, Cremia, White Heart Lane, Strabag, Northern Rhodesia, Wellington Islands, LHRC.
 
Zinatusaidia sana hizo gest house sijui tungekuwa tunaenda wapi siye .


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Zinatusaidia sana hizo gest house sijui tungekuwa tunaenda wapi siye .


Sent from my iPad using JamiiForums

Hapo unazungumzia kama uko mkoa wa ugenini alafu huna pa kufikia au unazungumzia kwenye mambo yetu yale?
 
Kuna kipindi nilikuwa na project ya kama wiki huko ikabidi niulize mtu aliyetutangulia akaniambia huko rum bei ya chini ni elfu 40. Ikabidi nitafute mwenyeji ndo nikawa nakaa Bububu

Ni room za guest house au hotel
 
Wilaya Masasi mkoani Mtwara ina guest house nyingi kuliko nyumba za kuishi.Nilishangaa sana.
 
Makao mapya (Levolosi) Arusha.....Ila kwasasa zinapungua maana ghorofa zinajengwa sana..
 
Back
Top Bottom