- Thread starter
- #21
Halafu guest za wilayani ni nzuri na bei zao ziko chini sana
Yeah sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu guest za wilayani ni nzuri na bei zao ziko chini sana
Ngoja nifikirie.
Muingiliano wa kibiashara? Kwa hiyo wanaingiliana kibiashara gesti?
Mimi mbona zanzibar sijaona guest house au zipo lakini serekali hairuhusu
Mississippi, Ontario, Cremia, White Heart Lane, Strabag, Northern Rhodesia, Wellington Islands, LHRC.Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Ilala kitongoji cha sinza
Zinatusaidia sana hizo gest house sijui tungekuwa tunaenda wapi siye .
Sent from my iPad using JamiiForums
Zinatusaidia sana hizo gest house sijui tungekuwa tunaenda wapi siye .
Sent from my iPad using JamiiForums
Kuna kipindi nilikuwa na project ya kama wiki huko ikabidi niulize mtu aliyetutangulia akaniambia huko rum bei ya chini ni elfu 40. Ikabidi nitafute mwenyeji ndo nikawa nakaa Bububu
mtwara mjni