Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS
Jamiiforums imekuwa kikao cha uongo, hii mada ingewekwa na mwanaCCM isingekuwa bado ipo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na jinsi ambavyo CCM ina uhaba wa viongozi wa maana hawakawii kumuomba Rwaks awaongoze kama wanavyoongozwa na Mwita Waitara
 
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?
Mkuu unajiaibisha? Mzee Lowassa alipokuwa Mgombea Urais wenu baada ya siku mbili tangu ajiunge alikuwa mpigania Chadema? Cecil Mwambe, Kallanga, Wenje, Dk. Mollel, Ole Millya, kutaja wachache nani kati yao alikipigania chama kabla ya kuzawadiwa ubunge? Dogo vipi? Au sifa yenu ya unyumbu ya kusahausahau ndio inakusumbua?
 
Bukoba hipi agombee , labda kama anatafuta kifo lakini sio ubunge.
 
Yaan hata uwenyekiti wa mtaa hawezi kupata walishamchoka na akasoma alama za nyakati ndio maana alifikia hayo mahamuzi, labda "ASINDULE EBIKONYA"
Kwahiyo mnamchagua nani ccm au CHADEMA?
 
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?
Elfu Saba inakutosha usitake mambo makubwa usio na uwezo nayo
 
Wafukuzwe uanachama Chadema, alafu CCM ndiyo waumie haya mambo ya ajabu sana.
Juzi nilianzisha uzi kuulizia hilo, ajabu ulifutwa baada ya muda. siku hizi jamii forum nayo inaelekea kuwa kama star tv na channel ten. wanataka nyuzi za kusifu na kuabudu mungu wa chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…