MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Namjua sana alikua akifanya kwa mhindi gihji bahati mbaya natonywa na imfoma wangu hotel iliuzwa kwahiyo mjini si pahala salama kwake kukaa aende kwao busega kwa baba na mama yakeMabula alikuwa anafanya kazi ya Ulinzi (Security Guard). Nikikutana naye, nitamshauri asitumie vihela vyake kwenye ubunge. Bahati haiji mara mbili.
Mwenyewe unafikiri watu hawakujui wala hawawezi kukupata picha yako ukijificha kwenye keypard!View attachment 1450411
Afadhali wamchague mgombea wa cdm yule jamaa mmiliki wa radio visionKwahiyo mnamchagua nani ccm au CHADEMA?
Tatizo la bukoba lilianzishwa na yule Amani wakati yupo diwani wa ccm akawa na nguvu kuliko hata walio mzidi cheoMiaka Mitano stendi kuu ilimshinda!!
Hiv bukoba wasomi wote hao kunakosekana mtu wa kugombea ubungo na kuijenga bukoba?
Bora hata malinzi alikumbuka nyumbani akajenga uwanja wa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya haina ujinga huoHii mbeya..
Mzee ukishakuwa mwanachama wetu,unapata haki zote kama wanachama wengine waliokuwapo kwa muda mrefu.Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana
Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena
Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?
Huyo mwenyew na CCM wake waligombana mpaka stendi na soko havikijengwa.Mbunge wa maana bukoba alkua Hamis kagasheki.
Hawa wengine wahuni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Solution niTatizo la bukoba lilianzishwa na yule Amani wakati yupo diwani wa ccm akawa na nguvu kuliko hata walio mzidi cheo
In God we Trust
Ahaaa! Kumbe kuijenga "CCM" ni muhimu zaidi kuliko kuijenga "Tanzania".Karibu sana Mr. Rwakatare tuijenge CCM.
Ahaaa! Kumbe kuijenga "CCM" ni muhimu zaidi kuliko kuijenga "Tanzania".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagasheki kafanya makubwa sn mji ule,lile soko Ni ishu ndogo Sana.Huyo mwenyew na CCM wake waligombana mpaka stendi na soko havikijengwa.
Tunataka mtu fresh kabisa na kabla ya kugombea aseme amewekeza nini bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata asingetangaza kung'atuka angebwagwa tu nakumbuka tulienda kupiga kambi Bukoba kuhakikisha tunampatia jimbo,tulitumia umaarufu wake tukapata kura za huruma,simnajua alikua ametoka Segerea alikohifadhiwa na Mwigulu Ncheba? Lakini sasa ivi wanaota moto pamoja wakipanga kusambaratisha Chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagasheki kafanya makubwa sn mji ule,lile soko Ni ishu ndogo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hawezi kukuelewa! Mpaka aambiwe Secretary of State Pompeo ambaye ametusaidia kujua kuwa mtoto wa jiwe " ANADHURUMU WATU HAKI YA KUISHI"I told bwana Bia yetu tu kuwa apunguze speed atachoka mapema, sasa hivi thread ya kumi hii simuoni kabisa, ni ngumu sana kuitetea CCM
Nafikiri ni Tatizo la kijiografia..Miaka Mitano stendi kuu ilimshinda!!
Hiv bukoba wasomi wote hao kunakosekana mtu wa kugombea ubungo na kuijenga bukoba?
Bora hata malinzi alikumbuka nyumbani akajenga uwanja wa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Raja baadhi aliyoyafanya ili jukwaa hili lipate mwanga Tafadhali.Kagasheki kafanya makubwa sn mji ule,lile soko Ni ishu ndogo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app