Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
Kwanza mimi sio mchungaji!.mchungaji pasco, ha ha ha, anyway, just for laugh.. nimekuwa fun wako kwenye hizi topic zako. kimsingi unaeleza vitu ambavyo vinatokea na vinawatokea watu, but pia si rahisi kwa kila mtu kukubali kwani wana-framework za kidini vichwani mwao. but they have truth.
nakumbuka bwana yesu alisema; ukiwa na imani hata chembe ya haradali, unaweza kuuwambia mlima huu ng'ooka ukapandwe baharini.
japo, namna ya ku-harness hizi power haiko-clear sana kwetu. lakini lazima ni-admit kuwa kuna ukweli uliyoyasema yana happen katika real world.
ninao ushuhuda nitaueleza kwa kifupi: na kuna matatizo ya kuugua malaria yaliwahi kunikuta ambapo kwa miaka isiyopungua saba, yaani kila baada ya wiki 2 naugua malaria. nimemeza dawa nyingi sana, za hospitali zilichemka nikawa natumia za kienyeji, kihindi, majani ya mpapai, maombi n,k,nikawa nikipimwa inakutwa, wakanishauri nikachunguze sijui malaria kwenye mifupa, brucellosis, uti,typhid, circlecell, nikaenda kwenye culture media(kuotesha vingine vidudu kama vitaota japo)lakini vika-prove nothing but malaria iko palepale. it was damn real. mpaka nilipo-change namna ya kufikiri , siku hizi sina shida tena. japo sikuchange tu kirahisi bali ilitokana na kukata tamaa, nikawa sijali wala sina hofu na ninavyojiskia kuhusu kuumwa. lakini ndo ikawa pona yangu. kwani mentally sikuwa nahofu tena na maisha 100%.
nilikuwa napenda kukuuliza swali je wewe ni muumini wa wale wanaofanya meditation?
pili je powers ulizonazo uliwahi kujaribu kumwombea mtu akapona?
Yes nimefanya meditation kidogo tuu kwa kujisomea not in class!, sifanyi zile za class kuepuka masharti, mimi pombe natumia, kujirusha najirusha, na ile starehe number moja duniani kwa viumbe vyote pia natumia, vitu ambavyo meditation inapiga marufuku kabisa!.
Pasco