William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

Naona wanatajwa watu wake watu wake "the oldboys gang" basi na wao wapelekwe halmashauri au serikali kuu ili wasimpotoshe mteule mpya.
 
Waturudishie FAO LA KUKOSA AJIRA
 
Ashauriwe fasta management aihamishe haraka sana, ni mapopo tu yale then aendelee na kizazi alichotoka macho ppf, other wise watamhujumu
Naona wanatajwa watu wake watu wake "the oldboys gang" basi na wao wapelekwe halmashauri au serikali kuu ili wasimpotoshe mteule mpya.
 
Safi sana kwa kuweka record sawa.
 
Watumishi wa NSSF ni wa umma hao mkuu. Ila mfuko ni kwa ajili ya watumishi wa binafsi/private
 
majizi yote hayo sijui ppf sijui nssf wakiongozwa na dau kimsingi walitakiwa wawe wameuawa
 
Sawa kabisa huyu DF ana roho mbaya zaidi ya Izrael mmtoa roho pia alikuwa anajivunia (Mkuu) wanatoka chimbo 1 hata Erio alikuwa anamgwaya kwa dizaini fulani. Mshomba aanze naye huyu ITAPENDEZA ZAIDI
 
Usimpe Moyo mwambie tu KATUMBULIWA ile ilikuwa mbilimbi mbovu imeivaa kupitiliza imeshadondoka juu ya jiwe Pwaaaa🤣🤣🤣
ile
 
Jamaa alikuwa na team yake JF ya kumuongelea vizuri. Ukipita tu uzi wa kumuhusu yeye unakuta wakina mpepokigoma sijui bahati 1980 🤣🤣🤣 wanakuchangia kama vita vya Somalia nyingine sijui alikuwa anazituma mwenyewe. Kila lenye mwanzo lina mwisho muaache akamenye korosho Ntwara huko bei imepanda. Thats the end of his chapter KAZINGUA SANA.
 
Jamaa zake sasahivi wamekua wapole sana, huyu Erio ana roho kama shetwani, sura yake haifanani na roho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…