Utasikia mtu anasema bila ushahidi, “tunaambiwa ni fisadi.” Ukimuuliza una ushahidi? Utasikia “majumba yote makubwa Dar na mikoa mikubwa ni ya kwake.” Una ushahidi na umiliki wa hayo majumba? Utasikia, “kila mtu anasema.”shetani hawezi kubadirika akawa kwa maana dhambi ni yake daima, hivi hapo Ridhiwani kakosa nini dhihirisha ubaya wake ili hukumu iwe juu yake. Tubadirike chuki haitakusaidia utapata pressure bure na utaitibu kwa gharama kubwa.
Nani asiyejua kuwa alionewa?
Unamtoa Lukuvi unamweka fisadi Ridhiwani jambazi kuu wa ardhi?
Nani asiyejua kazi kubwa aliyofanya Lukuvi?
Mambo haya ya fitina hutuondolea uzalendo...watu huanza kutafuna nchi wakijua hata wakijituma ni bure.
Hawa viongozi labda watawachezea wenye akili kama mleta mada hahahaKweli kabisa hilo linawezekana hata kama analimisha yeye anaenda kama mtalii tu huko
Alikuwa anapenda makamera sasa mbona hatuyaoni au kwa sababu ni kwa gharama zake sasa
Labda Pinda tu ndio mkulima [emoji2957]
Hebu weka hiko kipengeleHao wabunge siyo kwamba waliingia deal na wao wakaamua kujiuzulu? CAG Assad nasiki kuna kakipengele kwenye sheria ambako kalitumika
Hawa viongozi labda watawachezea wenye akili kama mleta mada hahaha
Ova
Riz anapasha muda wowote anashika hatamu, dada atahamishwa au atasubiri kupangiwa kazi nymgine.Nyie mataila kweli , kwaiyo Ridhiwan ndio waziri wa Ardhi? Sasa na yule msukuma mwenzenu anatolewa pale
Kuna madogo fulani wawili wa mtaani wamechukua UPedejee sehemu mbili nyeti sana.Wewe kama umezaliwa dashlam utapeta sana awamu hii.
Ma tp wote wanatamba kwa sasa.
UJINGAAAsaivi kuna shida ya rais wa 2025 au.2030 kuingia mkiristo.hivyo kunaumuhimu wa kuanza kuwachunguza kwa makini wakristo.walioko madarakani wataoonekana wana chembechembe za kutamani urais lazima aenguliwe mapema.
Yuko vzr hata akimpuzikaWamekwapua hela za kutosha hao
Subiri Mh.Spika aliyeacha kazi naye atwambie anafanya Nini kwa Sasa.
Nchii Rais anaweza kuteua na kumtengua yoyote wakati wowote na bila sababu kasoro CAG au Majaji.
Watu wenye akili zao wote hawakuipendaItakuwa ni ile hotuba yake Kanisani 2015 kuhusu Zanzibar. Wazanzibar wengi hawakuipenda.