TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

..hiyo zaidi ilikuwa ni kipindi cha nyuma lakini siku za karibuni hapa alianza kutukana sana wanaomkejeli hasa akiweka post kwenye page yake insta...
Chawa hao..waendesha akaunti zake ,yeye akiwa bize.You know!??Chawa njaa Kali..."....Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM inakabidhi Ikulu".By.Humphurey Pole Pole....Muulize Leo.Zaidi You Tube kule,ukajiridhishe.
 
Kumbe mabeberu ndo wanakupa ugali afu unawakandia na kumpenda Mrusi
Ni suala na itikadi na mrengo mtu hufuata na hizi ni siasa za dunia.

Ugali mtu hupata popote hivyo waweza kuchukua yale yalo chanya na kuacha mabaya yao ambayo ni mengi kuliko mazuri yao.

Ukipata nafasi tembelea Moscow mkuu ujionee maajabu ya warusi.
 
Yaani mabeberu yanakushibisha afu unawatukana?

Mzee hebu kuwa ma shukrani
 
JF tumefiwa, ni moja ya watu waliotuvutia wengi humu enzi hizo. Alivyorudi Bongo aliishi maisha tofauti lakini kwa ambao tunakumbuka mijadala yake tunajua uwezo wake kwenye hoja.

Rest in peace brother [emoji120]
hakika mkuu ni msiba mkubwa kwa JF nadhani Max melo na Mushi pamoja na Buchanan watatuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mkuu
 
Larger than life public persona. Lakini in private he seemed to have been suffering in silence haswa baada ya wanaye kukataa kumsamehe na kurejesha mahusianai naye kwa asilimia 100 na matusi juu.
 
R.I.P lemutuz,kweli maisha ni fumbo kubwa sana,boma ye boma liwanza,umeniuma sana.Rest easy.
 
So sad
 
si kwako tu kuondoka kwa lemutuz ni pigo kwa watu ambao walikuwa wakimfuatilia mitandaoni. mimi nilikuwa naongea nae kupitia cm yake ya mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mabeberu yanakushibisha afu unawatukana?

Mzee hebu kuwa ma shukrani
Mabeberu hayanishibishi chochote na wala siwatukani ila nakosoa sera zao za "hegemony" na ukabaila.

Shukrani pekee kutoka kwangu ni kupata mabinti wazuri sana wa kibeberu ambao wanaheshima sana kwangu na wamenifyatulia matunda khasa.

Kisha wamekubali kwamba mimi ni lazima niwe na binti wa kitanga, ambae ilibidi nitafute mwenye rangi nzuri ili matunda yalingane rangi.
 
Dah!

Umemlilia kweli.
Hakika atakuwa aligusa maisha yako kwa namna ya kipekee.

Nampa pole Mzee Malicela kwa kuondokewa na watoto namna hii.
 
Kama umesoma ile Historia ya maisha
yake utagundua hata hao ndugu zake nao hawafai hata kidogo alikuwa ktk vita nao.
Mobimba amepitia mengi magumu kuanzia kuzaliwa kwake alikuwa kwenye vita kali sana na ndugu zake alifanyiwa mengi maovu ikiwemo kutengwa na ndugu na kukataa kumtambua! hii kitu ilimtesa sana Mobimba...hata alivyokuja kumuoa Neema Ngululupi hiyo ndoa nayo ikaingia timbwili ikapelekea Watoto kumkimbia.

Mobimba aliteseka sana mambo yote haya alikuwa akiya share Mitandaon na kwa marafiki zake. hakukubali kuweka kitu rohoni pengine style hii ya kutokuweka kitu rohoni ndio ilimfanya akaishi humu duniani kwa kipindi chote.

hakuna kitu kinachiuma kama kubaguliwa na wanafamilia.


ntamkumbuka kwa ujasiri wake wa kuchagua kuishi maisha kupigana na stress.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…