TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Yes Kifo cha Le Mutuz kimemgusa sana Mange yaani amepigwa na baridi ,ukiacha mabeef yao ila wana undugu japo kwa mbali.
hawana undugu, mwale malecela alikuwa mchepuko wa babake mange, na kwasababu familia ya watoto wa ndani wa malecela walikuwa hawampendi le mutuz kwasababu ni mtoto wa nje wakiamini atapata mafao ya baba yao, mange naye akaingia kwenye mtego wa ugomvi huo, akamuaibisha hadi mwisho. worse enough le mutuz na mange hawajawahi hata kukutana na kuonana uso kwa uso, na kina mwale walimtumia mange kwasababu kichwa chake sio kizuri kumuadhibu mtu waliyemfuatilia na kumnyanyasa maisha yake yote bila kujua na wao watakufa bial kurithi hizo mali na le mutuz wanayemuwinda atakufa bila kurithi. wangejua wangepatanaga tu waishi kama ndugu kwa furaha kwasababu wote wameondoka na mzee malecela waliyekuwa wanampigiaga mahesabu ya kifo chake bado mzima hadi leo na siukute Mungu akawaondoa wote kabla mzee hajaitwa kama walivyotarajia. hili ni funzo kwa wote wanaochukia watoto wa kambo. jambo la ajabu ni kwamba, mange naye alikuwa mtoto wa kambo aliyetengwa sana na familia ya ndoa ya baba yake lakini huku akijua maumivu ya kutengwa kwa kosa lisilo lako (kosa ni la wazazi sio mtoto) aliendelea kumtesa mtoto wa kambo mwenzie hadi umauti ulipomfikia. kwasababu maumivu alikuwa anayajua, alitakiwa asiwe vile.
 
Mange sio binadamu wa kawaida. Ni mkuu wa mashetani katika umbo la binadamu. Kashavuka viwango vyote vya roho mbaya.
 
Oyaa, ukiwa na mali zaa watoto wa kutosha. Achana na ustaarabu wa kimagharibi. Ukiweza panga maisha zaa mapema ungali unanguvu za kutafuta, usisubiri uwe tajiri ndio uwe na watoto hayo ni mawazo ya kipimbi mno.
 
Hajaandika kwa sababu anajua sasa hivi watu wana mihemko. Ila nina amini leo huko alipo anatoa yote.

Hawa watu wamedhalilishana wote. Lemutuz anasema baba yake mange alifanyiwa mchezo wa sodoma ndio maana alijinyonga. Hii pia inauma eti
Ndyooo inaumaa, mbna lemutuz kaongea mengi hadi yeye mange kusodomiziwa na yule kibabu wa kizungu.

Tena sahiv ndo atatoa mengi zaidi hata tusoyajua
 
Umeumia na umepata muda wa kuandika yote Haya.
Rip mbebez
 
HV msiba wa lemutuz utafanyiwa wapi hotelini au kwa Bab ake
sidhani kama mzee malecela na mama malecela walikuwa wanamchukia, utafanyikia kwa babake bila shaka. halafu pia, ikumbukwe le mutuz alikuwa na pesa ya kutosha tu kuliko watu wanaotype kwenye jamiiforums hapa. hakuwa lofa kiasi hicho hadi mumdhanie aliishi kama kware.
 
Kumbe alikuwa na mambo yake vzr tu alfu watu Wana msema Seema ovyo
 
Mzee anapitia magumu sana badala ye ndo azikwe na wanae yeye ndo anawazika wanae mbaya zaidi hilo pengo haliwezi zibwa tena!

Alianza Senyagwa,akaja Ipyana,Dr Mwere,na sasa Lemutus
 
Kumbe alikuwa na mambo yake vzr tu alfu watu Wana msema Seema ovyo
nyumba alikuwa nayo, ila kuna watu humu wanamsema vibaya wakati hawajui hata bei ya cement. au bei ya tofali. aliishi maisha ya middle class. wale wafadhili alikuwa anawatangazia matangazo hao asas na wengine, walikuwa wanampa pesa nzuri tu, na alikuwa ameajiri watu alikuwa anawalipa mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…