Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani watu wengine, unaumwa unapata wapi hata muda wa kuomba upigwe picha, ili iweje? Ukipost mtandaoni zile comments za pole ndiyo zinaponesha? Ujinga mtupu.......
Ndito...you're missed!!Lembebez ugua pole sana.
Eeh kweli kitambo sana...i hope unaendelea vizuri[emoji4]Ndito...you're missed!!
Kama kawa, sija kuchokoza muda mrefu, nitatimba.Eeh kweli kitambo sana...i hope unaendelea vizuri[emoji4]
Huyu si ana jopo la masangoma,wamponye sasaW. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi.
Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini.
Pole sana Mungu akutangulie.
View attachment 1726599