William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

Yaani watu wengine, unaumwa unapata wapi hata muda wa kuomba upigwe picha, ili iweje? Ukipost mtandaoni zile comments za pole ndiyo zinaponesha? Ujinga mtupu.......
huwezi jua mzee, hukuona au umesahau zile "bring back" zilivyowasaidia wale jamaa kipindi Cha wasiojulikana.
Nguvu ya mtandao
 
Yaweza kuwa anaumwa ugonjwa wa kukimbia, nanna wamemfunga Mkanda...
 
Duh ana degree tatu uyo mkuu
Acha kumpa sifa asizo nazo. Shahada za nini na amefanya nini zaidi ya kuchemka kila kona ya maisha? Unaweza kumlinganisha na watu kama January Makamba, Nchimbi hata kama PhD yake ni magumashi au Dr Mwinyi hata Matayo Matayo tunayeambiwa ni mtoto wa Msuya?
 
Ngoja amalize matibabu yake uko India akiwa anaishi katika 5 star hotel alafu atakuja kukujibu...you know le akili kubwaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…