Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

unaweza elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau ?πŸ’
Mara nyingi wanaorudiana huishia kuachana, tena kwa sababu ileile iliyowaachanisha mwanzo. Kwanini? Kwa sababu tabia ni kama ngozi, haiwezi kubadilika.
 


Wakiwa single Mama na Single father hawarudiani, wanaeudiana tu Wakiwa na ndoa!
 
Endapo mliachana kwa chuki na kuna visasi kati yenu nawashauri msirudiane msije mkaja kuwekeana sumu.
Take a Note
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…