Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Aisee hii nayo mpya.
WaTz wabunifu sana

Umetumia neno UBUNIFU kimakosa kabisa hapa, huo sio ubunifu, ni upuuzi..!!

Au hujui maana ya Ubunifu?

Kifupi ubunifu ni uwezo wa mtu kuanzisha au kuvumbua kitu chochote kipya, chenye utofauti na ubora zaidi, ambacho kina thamani au kinaongeza thamani ya kitu kilichopo, kwa manufaa ya mtu mwenyewe, wateja, na jamii kwa ujumla.
 
Duuh mbona watu wa Dar mpo hivyo au mnataka watu wa mikoani tuje kuwasaidia wake zenu kuwapa Mimba?
 
Mnavituko humu. Eliamini Mollel umesikia

Umbwaaa Chaliifrancisco
 
Dunia ina mambo..[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…