Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Yuko Sawa kabisa..
Katika sehemu ambayo Inafanya Absoption kubwa ya Fluid Huwa ni kwenye colon na hata Maji unayokunywa Asilimia Kubwa Huwa abso... Kwenye colon
 
Inaitwaje?
 
Khee hawa vijana mbona wamekuwa wa hovyo
 
Yuko Sawa kabisa..
Katika sehemu ambayo Inafanya Absoption kubwa ya Fluid Huwa ni kwenye colon na hata Maji unayokunywa Asilimia Kubwa Huwa abso... Kwenye colon
Maelezo yake hayajitoshelezi, msaidie.

Kulingana na vile nilivyomsoma, amedai kuna sehemu ndani ya colon inayohusika kuchuja mara ya mwisho kipi kiwe taka, na kipi kitumike tena na mwili.

Ndio nawataka nyie madaktari mtuambie, hiyo sehemu ndani ya colon inayotumika kuchuja inaitwaje? hiyo colon haina parts?
 
Aisee, binadamu wanatumia kila njia kutafuta matatizo!
 
Aisee 😯
Sikuwahi kusikia hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…