Dunia ilip[o fikia ni kuomba sana Mungu maana hata mwendawazimu lazima atushangae kwakweli.Duniani kuna mambo.Sikuwahi kujua hilo.Swali;Hiyo pombe ikishafanya kazi yake mwilini,inatokea njia ipi tena?
Kwani bapa, jogoo/kisungura au k-vant hutoa povu? Kama wanajazamo mbege, kangara, komoni au Safari lager, Serengeti etc hapo kweli swali lako ni la muhimu inafaa lijibiwe.lile povu linabaki wapiii?
Sio shetani tu hata mizimu inashangaa hawa kweli ndio viyukuu wajukuu au watoto wetu?!Eeeeh hii sidhan kama mababu zetu waliwahi Fanya hivyo, mpaka shetani anaogopa
Hii sio mpya iko Sana US na Europe. Hata Kenya niliwahi kusikia kitamboAisee hii nayo mpya.
WaTz wabunifu sana
Sasa kama hapa duniani ndo hivyo itakuwaje huko peponi kwenye mito na maporomoko ya pombe.
Duh hili kwangu ni GENI kabisa kulisikia, hivyo SITOSADIKI hadi nipate maelezo ya kutosha+ picha/video
What about the spillover effects to the nearby(Closest) organs e.g the reproductive system?Alcohol enemas involve inserting alcohol through the anus and into the rectum. They may make a person feel drunk faster and decrease the risk of vomiting, but they can also increase the risk of alcohol poisoning.
Alcohol enemas, also called “butt-chugging” or “boofing,” involve inserting alcoholic drinks into the rectum through the anus to bypass the body’s metabolizing processes.
People may consume alcohol this way to experience its effects faster, to avoid vomiting, or due to peer pressure. However, individuals may still be at risk of alcohol poisoning and overdose if they ingest alcohol this way.
Kwani Mabomba ya sindano (syringe)yanayouzwa limoja kwa shs 200- 300 kule maduka ya dawa muhimu hayafai?Kwamba wana vifaa maalum kama vile vya hospital vinavgotumika kufanya Anal retrograde injections?
Huo ni ulevi ghali na wa kisasa zaidi.
Ilianzia KenyaAisee hii nayo mpya.
WaTz wabunifu sana
Yameanzia kwa mazayuni na wazungu, sasa afrika inakuja kwa kasi sana. Ni kama nguo fupi wameiga kwa wazungu, kwa sasa afrika naweza kusema ni mwalimu ama second master wa wazungu kwa kuvaa vimini n.k, ushoga nao unakuja kwa speed ya 5G 😄Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?
View attachment 3020491
Huwezi kukosa cha kusema katika hili,Sina cha kusema.
Shetani siku hizi anachukua maujuzi toka kwa wanaadamu.Binadamu tuna hekaheka sana. Hii hata shetani sidhani kama aliijua
Kwa jinsi pombe ilivyo kali na nyepes itaflow back nina uhakika labda kae kichwa chini miguu juu.🤣Kwani Mabomba ya sindano (syringe)yanayouzwa limoja kwa shs 200- 300 kule maduka ya dawa muhimu hayafai?
Wote wako sahihi kabisa. Kinachafanyika ni kukufanya wewe uliyeuliza swali uwe umefikiri hadi kweli umeshindwa hupati majibu i.e. umekwama unaomba usaidiwe. Lakini ukiuliza swali la kejeli au swali linalokufanya uonekane ww sio GT i.e unataka spoon feeding, basi nawewe unaulizwa swali litakalokufanya ufikirie zaidi.JF ukihoji na watu wanakuhoji. Mtu kauliza kuliko na sisi kuuliza afadhali kukaa kimya ili kama wapo wanaofahamu ndipo watoe ufafanuzi na sisi ambao hatujui tujue
Mhhhh aisee Kweli dunia duaraKupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.