Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

Kwamba wana vifaa maalum kama vile vya hospital vinavgotumika kufanya Anal retrograde injections?
Huo ni ulevi ghali na wa kisasa zaidi.
 
Alcohol enemas involve inserting alcohol through the anus and into the rectum. They may make a person feel drunk faster and decrease the risk of vomiting, but they can also increase the risk of alcohol poisoning.

Alcohol enemas, also called “butt-chugging” or “boofing,” involve inserting alcoholic drinks into the rectum through the anus to bypass the body’s metabolizing processes.

People may consume alcohol this way to experience its effects faster, to avoid vomiting, or due to peer pressure. However, individuals may still be at risk of alcohol poisoning and overdose if they ingest alcohol this way.

:AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO::AYOOO:
What about the spillover effects to the nearby(Closest) organs e.g the reproductive system?
 
Salaam Wakuu.

Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.

Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.

Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?

Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?

Hii haiwezi kuongeza ajali barabarani? Trafiki watapimaje kiwango cha ulevi?

View attachment 3020491
Yameanzia kwa mazayuni na wazungu, sasa afrika inakuja kwa kasi sana. Ni kama nguo fupi wameiga kwa wazungu, kwa sasa afrika naweza kusema ni mwalimu ama second master wa wazungu kwa kuvaa vimini n.k, ushoga nao unakuja kwa speed ya 5G 😄
 
JF ukihoji na watu wanakuhoji. Mtu kauliza kuliko na sisi kuuliza afadhali kukaa kimya ili kama wapo wanaofahamu ndipo watoe ufafanuzi na sisi ambao hatujui tujue
Wote wako sahihi kabisa. Kinachafanyika ni kukufanya wewe uliyeuliza swali uwe umefikiri hadi kweli umeshindwa hupati majibu i.e. umekwama unaomba usaidiwe. Lakini ukiuliza swali la kejeli au swali linalokufanya uonekane ww sio GT i.e unataka spoon feeding, basi nawewe unaulizwa swali litakalokufanya ufikirie zaidi.
 
Sipati picha hio pombe ikaekewa na ugoro ,,,huu ni ushoga na ujinga uliopitiliza
 
Kupanua ufahamu hapa jukwaani hii kitu inaitwa 'alcohol enemas "kiufupi ni kuweka mrija kwenye mkundyu kisha kumimina pombe taratibu ,watu wa hovyo wanafanya hivi ili kulewa haraka maana pombe haipiti mfumo wa kawaida,pili ini halipati madhara,tatu wanaepuka kutapika ,nne kulewa kwa kutumia pombe zinazowashinda harufu.
Wanaofanya huu upuuzi wategemee yafuatayo kwanza watalewa haraka sana kuliko wangekuywa pombe kwa mdomo,pili vinyeo vyao kuwaka moto,tatu vinyeo kuwasha sana,nne kuachia mizigo(mavi)meusi kweli kweli,tano kuwa na kuvuja kwa damu ndani ya utumbo ,sita kupata vidonda au cancer ya utumbo.
Mhhhh aisee Kweli dunia duara
 
Back
Top Bottom